ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Nani kakudanganya CCM haihitaji IQs?Tumbili ana IQ kubwa ila upande aliko hawataki watu wanaofikiria
Naunga mkono hii kituππΏππΏππΏHuyu Mheshimiwa ni hazina kubwa sana tena sana kwa Taifa letu ambaye kama Taifa tunapaswa kumtumia vizuri.Ni akili kubwa , ni mtu mwenye maono na uwezo mkubwa sana wa kiuongozi.anaelezea jambo na kulifafanua vizuri ambapo hata mtu mwenye elimu ndogo anakuwa na uwezo wa kumuelewa vizuri kabisa na kwa urahisi .
Daaah π€£π€£Mapato ya serikali za mitaa na Halmashauri na TRA yanapotea
Serikali za mitaa na Halmashauri na TRA zibinafsishwe
Naomba tenda kumiliki Halmashauri na serikali za mitaa na TRA
Mwamba sana huyu jamaaMkurugenzi Mkuu wa kituo cha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP-Centred) Bw. David Kafulila ametoa wito kwa sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya kiserikali na wamebaini serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.
Kafulila ameyasema hayo katika kituo cha runinga cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.
Msikilize mpaka mwisho.
HojaMkurugenzi Mkuu wa kituo cha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP-Centred) Bw. David Kafulila ametoa wito kwa sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya kiserikali na wamebaini serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.
Kafulila ameyasema hayo katika kituo cha runinga cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.
Msikilize mpaka mwisho.
Hata wewe ni hazina kwa TaifaHuyu Mheshimiwa ni hazina kubwa sana tena sana kwa Taifa letu ambaye kama Taifa tunapaswa kumtumia vizuri.Ni akili kubwa , ni mtu mwenye maono na uwezo mkubwa sana wa kiuongozi.anaelezea jambo na kulifafanua vizuri ambapo hata mtu mwenye elimu ndogo anakuwa na uwezo wa kumuelewa vizuri kabisa na kwa urahisi .
Sio kweli CCM Ina watu wa aina zoteTumbili ana IQ kubwa ila upande aliko hawataki watu wanaofikiria
Wengi wajinga wajinga hata mtu wa kumpa jina la simba wamekosaSio kweli CCM Ina watu wa aina zote
Kafulila ni jembeMkurugenzi Mkuu wa kituo cha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP-Centred) Bw. David Kafulila ametoa wito kwa sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya kiserikali na wamebaini serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.
Kafulila ameyasema hayo katika kituo cha runinga cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.
Msikilize mpaka mwisho.
Daaah ππWengi wajinga wajinga hata mtu wa kumpa jina la simba wamekosa
PPP sio kuuzwajafo jana kasema hakuna kampuni ya umma itauzwa sasa tumwamini nani?
Daaah ππKafulila hana akili timamu?
Hatari snDaaah ππ
Kwanini utishe watu ndg yangu?Hiyo UDART walioweka mrija wa kunyonya hizo fedha ukionekana unautaka live harafu hauna nguvu za kujilinda hata kwa siraha utatekwa watakukuta kwenye mtaro maiti yako itatambulika kwa DNA...