Kafulila: Kama kuna mtu au kampuni wameona kuna mradi serikali inauendesha kwa hasara na wana mbinu za kuifanya serikali na wao kupata faida waje

Tumbili ana IQ kubwa ila upande aliko hawataki watu wanaofikiria
 
Huyu Mheshimiwa ni hazina kubwa sana tena sana kwa Taifa letu ambaye kama Taifa tunapaswa kumtumia vizuri.Ni akili kubwa , ni mtu mwenye maono na uwezo mkubwa sana wa kiuongozi.anaelezea jambo na kulifafanua vizuri ambapo hata mtu mwenye elimu ndogo anakuwa na uwezo wa kumuelewa vizuri kabisa na kwa urahisi .
Naunga mkono hii kitu👏🏿👏🏿👏🏿
 
Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP-Centred) Bw. David Kafulila ametoa wito kwa sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya kiserikali na wamebaini serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.

Kafulila ameyasema hayo katika kituo cha runinga cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.

Msikilize mpaka mwisho.
Mwamba sana huyu jamaa
 
Hoja
 
Huyu Mheshimiwa ni hazina kubwa sana tena sana kwa Taifa letu ambaye kama Taifa tunapaswa kumtumia vizuri.Ni akili kubwa , ni mtu mwenye maono na uwezo mkubwa sana wa kiuongozi.anaelezea jambo na kulifafanua vizuri ambapo hata mtu mwenye elimu ndogo anakuwa na uwezo wa kumuelewa vizuri kabisa na kwa urahisi .
Hata wewe ni hazina kwa Taifa
 
Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP-Centred) Bw. David Kafulila ametoa wito kwa sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya kiserikali na wamebaini serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.

Kafulila ameyasema hayo katika kituo cha runinga cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.

Msikilize mpaka mwisho.
Kafulila ni jembe
 
mbona msajiri wa hazina hajasema na jana alikuwa na kikao na maceo wa public companies, atuambie kampuni zipi ziko sokoni watu wazichangamkie
 
jafo jana kasema hakuna kampuni ya umma itauzwa sasa tumwamini nani?
 
Hiyo UDART walioweka mrija wa kunyonya hizo fedha ukionekana unautaka live harafu hauna nguvu za kujilinda hata kwa siraha utatekwa watakukuta kwenye mtaro maiti yako itatambulika kwa DNA...
 
Kwanini utishe watu ndg yangu?
 
Back
Top Bottom