johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Haya mambo huwa yana ugumu wake.
" Tutashirikiana na kusaidiana katika Shida na Raha hadi kifo kitakapotutenganisha"
Sasa sijaelewa hapa kada wa CCM David Kafulila aka tumbili kama ataizingatia ahadi hii ya uaminifu katika ndoa wakati mkewe Kishoa atakapopambana na kada maarufu tena daktari wa falsafa Mwigullu Nchemba wa CCM.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!