Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahahahahaha! Sawa Bwashee!Basi wewe ni mgeni hapo Ufipa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahahahahaha! Sawa Bwashee!Basi wewe ni mgeni hapo Ufipa!
Ni lini Kafulila alikuwa 'kada' wa CCM?
Kuna watu wanadhani kila mwanachama wa Ccm ni kada wa ccm
Na kuna watu wanadhani kuwa CCM miaka mingi ndio ukada, wanaumizwa sana na Shonza, Prof Kitila, Waitara na Dr Mollel!Kuna watu wanadhani kila mwanachama wa Ccm ni kada wa ccm
Kama Kafulila siyo mwanachama aligombeaje ubunge kule CCM?Hao ni wa kupuuzwa tu na kuhurumiwa, wala Kafulila sio mwanachama... aliteuliwa moja kwa moja na akaapishwa kuilinda katiba na sio chama.
Kama Kafulila siyo mwanachama aligombeaje ubunge kule CCM?
Vijana hii alkasusu inawaharibu ubongo.
Vijana wa UVCCM wamejaa majungu wakikua watakuwa wachawi by Mrisho Gambo!
Akose mara mbili bwashee?!Siku akikosa ulaji huko ndo utaijua vema rangi yake!
Mbatizaji umewageuka UV wenzako??Kama Kafulila siyo mwanachama aligombeaje ubunge kule CCM?
Vijana hii alkasusu inawaharibu ubongo.
Vijana wa UVCCM wamejaa majungu wakikua watakuwa wachawi by Mrisho Gambo!
Duh!Mbatizaji umewageuka UV wenzako??
Anyway kuhusu kafulila ni kuwa atakuwa 75% kwa jesca in term of kumpa moyo,mbinuu atapiga sana promo kwa fake Id ili kujipendekeza kwa mama na rasilimali fedha ikibidi maana akipata jesca ulaji utakuwa wa familia lakini mchana na kwenye mitandao hasa kwa officially accepted atampa pro jiwe kinafiki huku akingojea uteuzi
Akikosa uteuzi at first four rounds za uRc,uDC ,ubalozi na Ukatibu atamrudia mama Tanzania
Trust me namjua sana kafulila hana haya atahama sana
Note saivi na jesca wapo kutunziana heshima ila kafulila kashuka value
Alipokosa Ubunge aliosha vyombo sana Nyumbani mpaka Magufuli alipomuooa na uRAS,