johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kafilila sio mpiga kura wa iramba magharibiHapa kuna mtihani rahisi sana! Njaa ya Kafulila ambayo iko kwenye ubongo, hawezi kumpigia kampeni mke wake! Ila kwenye sanduku la kura atampa Mke wake
Inategemea kajiandikishia Jimbo ganiHapa kuna mtihani rahisi sana! Njaa ya Kafulila ambayo iko kwenye ubongo, hawezi kumpigia kampeni mke wake! Ila kwenye sanduku la kura atampa Mke wake
most likely wako jimbo moja..Inategemea kajiandikishia Jimbo gani
Umenikumbusha Dr Kigwangalla na pikipiki za Simba aka Mo ArenaJo huku ni kuingilia privacy za watu sasa
Wewe ujamuona Salum Mwalimu alivyoenda kumpigania mkewe kwenye kinyang'anyiro cha kanda?Wakati mwingine unaweza kumuunga mkono mwanandoa bila kupanda jukwaani. Dk. Lilian ulishawahi kumuona anamnadi Mbowe? Mke wa Salum Mwalimu ushamuona kwenye kampeni?
Sikumwona Bwashee!Wewe ujamuona Salum Mwalimu alivyoenda kumpigania mkewe kwenye kinyang'anyiro cha kanda?
Basi wewe ni mgeni hapo Ufipa!Sikumwona Bwashee!