Pre GE2025 Kafulila: Kwa mara ya kwanza chini ya Rais Samia Tanzania imefanyiwa Tathimini na International Credit Rating Agency na kuibuka Vinara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi ni CHADEMA lakini nampenda sana Kafulila hapa Kigoma achague jimbo lolote tutampatia tu
Angeendelea kubaki chadema (kama wewe) hizo nondo zake wala tusingeziona wala kuzisikia.
Tumpe maua yake kwa kuamua kwenda kuungana na Mzalendo (rip) kwa lengo la kuitumikia nchi yetu.
Nb: Mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa!
 
Reactions: Tui
Asante Mwandishi
 
Kwa hiyo source ya taarifa ni kafulila ? Agencies zipo nyingi , hii agency iliyo ifanyia tathmini Tanzania ni ipi ? Na je ina aminika kwa kiwango gani?
Soma andiko vizuri kila kitu kimeelezwa na mwandishi.
 
Tanzania is categorized by the US State Department as a Country/Jurisdiction of Primary Concern in respect of Money Laundering and Financial Crimes.
 
Kafulila anatufanya tuzidi kuipenda Serikali ya CCM na Rais Samia, To me Kafulila is my best Politician of the Year.
Politician?

Kazi anayofanya ni siasa?

Dah
 
Kafulila ni fundi sana hata hivyo lazima tukubali hivyo
 
Kafulila Mungu akubariki sanaaa
 
Awamu ya Sita iko vizuri sana Mungu atubariki Watanzania kwa kumpata Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…