Pre GE2025 Kafulila: Kwa mara ya kwanza chini ya Rais Samia Tanzania imefanyiwa Tathimini na International Credit Rating Agency na kuibuka Vinara

Pre GE2025 Kafulila: Kwa mara ya kwanza chini ya Rais Samia Tanzania imefanyiwa Tathimini na International Credit Rating Agency na kuibuka Vinara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maana yake ni kwamba,Tanzania ilikua Hapo awali haikopokopi hivyo,baada ya kuanza kukopa sana tena kwa fujo ilibidi tufanyiwe uhakiki/kuangalia namna madeni wetu ulivyo.
Ila kwa bahati nzuri wenzetu wamekopa kuliko sisi.

Endeleeni kusifia ujinga.
 
🤣🤣🤣
 
Siku tukiuzwa ndiyo tutatambua jinsi Moody walivyotuchuuza.
Acha mawazo yako ya kijima.Taufa letu na nchi yetu ipo katika hali nzuri ya kiuchumi na ndio maana Inaendelea kufanya vyema katika vipimo vyote vya kimahesabu katika kupima uchumi wetu.
 
Awamu ya Sita iko vizuri sana Mungu atubariki Watanzania kwa kumpata Samia
Kwa hakika awamu ya sita inastahili pongezi sana kwa namna ilivyofanya kazi kubwa ya kukuza uchumi wetu ndani ya muda mfupi, katikati ya uchumi mbaya ya Duniani uliotikiswa na mambo mbalimbali lakini Rais wetu na serikali yake ameleta nuru na mwanga katikati ya Giza lankiuchumt Duniani kwote.
 
Kafulila anatufanya tuzidi kuipenda Serikali ya CCM na Rais Samia, To me Kafulila is my best Politician of the Year.
Kwa hakika Mheshimiwa David Kafulila Anaendelea kuitendea haki sana nafasi yake kwa kuisemea vyema sana serikali yetu ya Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan, hususani katika masuala ya uchumi na fedha na masuala mengine mbalimbali.
 
" Chini ya awamu ya sita kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania tumefanyiwa Credit rating ( solicited ) kama Taifa.

Hata hivyo Tanzania tumefanya vizuri zaidi kuliko nchi zote za Africa Mashariki EAC na baadhi ya nchi nyingi za SADC tukiwa vinara kwa B+.

Tathimini hiyo iliyofanywa na taasisi maarufu na zakuaminika zaidi duniani za MOODY'S na FITCH ambazo pia ni vinara duniani katika kazi hiyo,

Huu ni ushahidi kuwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anajenga uchumi wa kisasa na kuiweka nchi kwenye mizania bora zaidi ya kupimika kiuchumi kwenye medani za uchumi kidunia"

Amesema hayo David Kafulila, Mkurugenzi wa Kituo cha UBIA kati ya Serikali na Sekta Binafsi ( PPP) wakati akihojiwa kwenye kipindi cha DK 45.

Kafulila ameongeza kwamba Tathimini hizi zinachangia na kuongeza zaidi imani ya uwekezaji na wakopeshaji kwani zinapima afya ya uchumi wa nchi yetu kwa uhuru na uwazi zaidi.

Mkurugenzi David Kafulila anaendelea kwa kusema, nadhani inafahamika kwa wote hata katika benki zetu za kawaida tu kwenye mikopo ya kibiashara,

Wewe ukiwa imara kiuchumi ukienda benki kukopa watakukopesha kwa masharti nafuu zaidi kuliko ukiwa hoi kiuchumi (desperate) ambapo utaambulia masharti magumu kama ya mikopo ya kausha damu.

Hongera kwake Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri anazozifanya katika kusisimua na kukuza uchumi wetu.

Changamoto ni nyingi ni kweli lakini nchi ipo kwenye mstari sahihi na inazidi kuchukua sura mpya katika ujenzi wa uchumi wa soko kikanda na Kimataifa "

Hongera sana Tanzania
 
Maana yake ni kwamba,Tanzania ilikua Hapo awali haikopokopi hivyo,baada ya kuanza kukopa sana tena kwa fujo ilibidi tufanyiwe uhakiki/kuangalia namna madeni wetu ulivyo.
Ila kwa bahati nzuri wenzetu wamekopa kuliko sisi.

Endeleeni kusifia ujinga.
Credit rating ni screening ya wateja wote wa Mikopo walio serious wanaokopa kwenye taasisi Serious.

Credit rating ndio itakufanya iendelee kukopa au uache kukopa.

Ova!
 
Kwa hakika awamu ya sita inastahili pongezi sana kwa namna ilivyofanya kazi kubwa ya kukuza uchumi wetu ndani ya muda mfupi, katikati ya uchumi mbaya ya Duniani uliotikiswa na mambo mbalimbali lakini Rais wetu na serikali yake ameleta nuru na mwanga katikati ya Giza lankiuchumt Duniani kwote.
Sahihi kabisa crde Uchumi umekua kwelikweli, Mungu ambariki sana Samia.
 
Back
Top Bottom