Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Akili kubwa Kafulila ngoja tuwasubiri pingapinga FCKamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL
View attachment 2945755
Machawa at their best, mbona hali ya wananchi aibadilike.Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL
View attachment 2945755
Kusema uongo is order of the day.Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL
View attachment 2945755
2025 Uchaguzi wa nini?Kama anayoyaongea ni kweli.
Bas Sa100 kaupiga mwingi π
Uongo upi wewe Kila kitu ni Siasa?Kusema uongo is order of the day.
HAwezi kushtakiwa kwa kudanganya
Ndivyo ilivyo mkuu,Kama anayoyaongea ni kweli.
Bas Sa100 kaupiga mwingi π
Kupanga ni kuchaguaDaah kweli ukishindwa kujitegemea lazima uwe mtumwa huyu ndugu asinge ajiriwa angekua anafanya biashara zake kubwa hata za kimataifa asingekua mtumwa wa kuongea uongo mzito kiasi hiki Mungu amsaidie.
Uchaguzi ni kupoteza tu pesa.2025 Uchaguzi wa nini?
sema hali yako haijabadilika, acha uvivu sasa πMachawa at their best, mbona hali ya wananchi aibadilike.
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL
View attachment 2945755
sasa badala useme huo ambao ni ukweli, unajitambulisha kwa tone na style ya article kwamba wew ni block gani πKusema uongo is order of the day.
HAwezi kushtakiwa kwa kudanganya
Itakuwa kupoteza muda tuu mkuu π2025 Uchaguzi wa nini?
hebu tuone hizo zako zisizo na mashaka tuzione πData za Kafulila ni mashaka matupu..
Duniani ni pahala pa ShetaniDaah kweli ukishindwa kujitegemea lazima uwe mtumwa huyu ndugu asinge ajiriwa angekua anafanya biashara zake kubwa hata za kimataifa asingekua mtumwa wa kuongea uongo mzito kiasi hiki Mungu amsaidie.