Kafulila: Mafanikio ya Kihistoria ya Bandari chini ya DP World na Vivuko vya Bakresa ni mwanzo tu wa matunda ya PPP kwenye kujenga Uchumi wa kisasa

Bwana mdogo kafulila tuliza mshono wewe ni chawa tu.
 
Hongera sana Rais SAMIA kura yangu unayo
 
Uko Nchi gani? Toto Afya imefutwa nikuoneshe? Aisee hujui kitu utakuwa unaishi Burundi sio Bure
Afya toto si imeondolewa kwenye package ambayo ni affordable na kuwekwa kwenye malaki. Is that what poor Tanzanians need?
 
Huwa unatetea upuuzi wowote uliokoa affiliated na Mwenyekiti. So i have to prove no point to you. Its like that and always has been that way.
Umesikia nani analalamika kwamba ameshindwa kulipia 150k Kwa mwaka?

Na kama ameshindwa Kwa nini asilipie Kwa makundi eg Watoto Wakiwa shule?

Wacha kuwa punguani,sio tuu kwamba kuja Toto Afya Bali Bima Kwa wote imepitoshwa .
 
Ccm daima
 
Mjinga wewe kama hujui kwamba serikali ilienda kufanya marekebisho baadhi ya maeneo yaliyokua na utata umebakia kushupalia upumbavu!
Yes Serikali ya Samia ni Sikivu sana,

#MITANO TENA
 
Umesikia nani analalamika kwamba ameshindwa kulipia 150k Kwa mwaka?

Na kama ameshindwa Kwa nini asilipie Kwa makundi eg Watoto Wakiwa shule?

Wacha kuwa punguani,sio tuu kwamba kuja Toto Afya Bali Bima Kwa wote imepitoshwa .
CHADEMA wazito kufikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…