Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Nani kakwambia Serikali inashindwa?Kafulila ni dalali.
Yaani Bakhresa aweze kuendesha vivuko then serikali ishindwe????
Is it make sense???
Jisomee vizuri ujue maana ya PPP Mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia Serikali inashindwa?Kafulila ni dalali.
Yaani Bakhresa aweze kuendesha vivuko then serikali ishindwe????
Is it make sense???
Bwana mdogo kafulila tuliza mshono wewe ni chawa tu.Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw. David Kafulila amekaririwa akisema kuwa nia ya PPP ni kuvuta na kuvutia mitaji , Ufanisi pamoja na Teknolojia toka Sekta binafsi Popote Duniani.
Mkurugenzi huyo ametolea mfano faida za moja kwa moja Tanzania ilizoanza kuzipata toka kwenye Vivuko vya Bakresa pamoja na Ufanisi wa kihistoria uliofikiwa na DP WORLD kwani kwa kipindi kifupi DP WORLD imetoa matokeo ambayo hayajawahi kufikiwa kwa miongo mingi iliyopita.
Kafulila anaendelea kwa kusema Serikali inaleta sekta binafsi kwaajili ya kuvuta teknolojia Kwakuwa Sekta binafsi ndio yenye teknolojia bora kuliko ile iliyoko Serikalini na huu ni utafiti kwa Dunia nzima.
Anaendelea kwa kusema, zile pesa za walipa Kodi ambazo Serikali ingeipatia TEMESA ili kununua Vivuko Sasa pesa hizo zitaelekezwa kwenye Ujenzi wa miradi mingine muhimu kama vile shule, Zahati au vituo vya afya Kwakuwa Sasa huduma za Vivuko zinatolewa na Bakhresa kwa utaratibu wa Ubia na Serikali bila kutumia Senti moja ya Kodi Wala Mkopo.
Tumia muda wako kupata madini toka kwa Kafulila.
View attachment 3224842
===
Kuna kipindi BASHE alikuwa sio raiaIla hakuna Mwanachama wa CCM ambae sio raia
Kafulila kama ni chawa wewe ni nani?Bwana mdogo kafulila tuliza mshono wewe ni chawa tu.
Taarifa gani?
Kwani hapo kabla tulipata Nini?..mgawanyo wa 60 / 40 kati ya Tz na Dp World nadhani dhuluma.
..tulihitaji ufanisi ktk bandari yetu lakini sio kwa kudhulumiwa kiasi hicho.
Hongera sana Rais SAMIA kura yangu unayoMkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw. David Kafulila amekaririwa akisema kuwa nia ya PPP ni kuvuta na kuvutia mitaji , Ufanisi pamoja na Teknolojia toka Sekta binafsi Popote Duniani.
Mkurugenzi huyo ametolea mfano faida za moja kwa moja Tanzania ilizoanza kuzipata toka kwenye Vivuko vya Bakresa pamoja na Ufanisi wa kihistoria uliofikiwa na DP WORLD kwani kwa kipindi kifupi DP WORLD imetoa matokeo ambayo hayajawahi kufikiwa kwa miongo mingi iliyopita.
Kafulila anaendelea kwa kusema Serikali inaleta sekta binafsi kwaajili ya kuvuta teknolojia Kwakuwa Sekta binafsi ndio yenye teknolojia bora kuliko ile iliyoko Serikalini na huu ni utafiti kwa Dunia nzima.
Anaendelea kwa kusema, zile pesa za walipa Kodi ambazo Serikali ingeipatia TEMESA ili kununua Vivuko Sasa pesa hizo zitaelekezwa kwenye Ujenzi wa miradi mingine muhimu kama vile shule, Zahati au vituo vya afya Kwakuwa Sasa huduma za Vivuko zinatolewa na Bakhresa kwa utaratibu wa Ubia na Serikali bila kutumia Senti moja ya Kodi Wala Mkopo.
Tumia muda wako kupata madini toka kwa Kafulila.
View attachment 3224842
===
Nimewahi waambia wanajisumbua Bure,wanavyozidi Kujitoa ufahamu ndio kwanza wanampa Nguvu na baraka.
Pinga Pinga wote kuanzia CCM na wale wa Upinzani hakuna hata mmja anaweza Kuna hapa na takwimu zozote zile na sekta yeyote akamshinda Samia Kwa ufanisi.
View: https://x.com/wizara_afyatz/status/1886753351720710436?t=3-_lqw2w8ewErxBRRrsWfQ&s=19
Uko Nchi gani? Toto Afya imefutwa nikuoneshe? Aisee hujui kitu utakuwa unaishi Burundi sio BureKinara jwa kufuta bima ya "Afya Toto"? Lets get serious guys....
Afya toto si imeondolewa kwenye package ambayo ni affordable na kuwekwa kwenye malaki. Is that what poor Tanzanians need?Uko Nchi gani? Toto Afya imefutwa nikuoneshe? Aisee hujui kitu utakuwa unaishi Burundi sio Bure
Umesema imefutwa ,hata hivyo haijawekwa hivyo unavyoeleza wewe .Afya toto si imeondolewa kwenye package ambayo ni affordable na kuwekwa kwenye malaki. Is that what poor Tanzanians need?
Huwa unatetea upuuzi wowote uliokoa affiliated na Mwenyekiti. So i have to prove no point to you. Its like that and always has been that way.Umesema imefutwa ,hata hivyo haijawekwa hivyo unavyoeleza wewe .
Umesikia nani analalamika kwamba ameshindwa kulipia 150k Kwa mwaka?Huwa unatetea upuuzi wowote uliokoa affiliated na Mwenyekiti. So i have to prove no point to you. Its like that and always has been that way.
Ccm daimaMkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw. David Kafulila amekaririwa akisema kuwa nia ya PPP ni kuvuta na kuvutia mitaji , Ufanisi pamoja na Teknolojia toka Sekta binafsi Popote Duniani.
Mkurugenzi huyo ametolea mfano faida za moja kwa moja Tanzania ilizoanza kuzipata toka kwenye Vivuko vya Bakresa pamoja na Ufanisi wa kihistoria uliofikiwa na DP WORLD kwani kwa kipindi kifupi DP WORLD imetoa matokeo ambayo hayajawahi kufikiwa kwa miongo mingi iliyopita.
Kafulila anaendelea kwa kusema Serikali inaleta sekta binafsi kwaajili ya kuvuta teknolojia Kwakuwa Sekta binafsi ndio yenye teknolojia bora kuliko ile iliyoko Serikalini na huu ni utafiti kwa Dunia nzima.
Anaendelea kwa kusema, zile pesa za walipa Kodi ambazo Serikali ingeipatia TEMESA ili kununua Vivuko Sasa pesa hizo zitaelekezwa kwenye Ujenzi wa miradi mingine muhimu kama vile shule, Zahati au vituo vya afya Kwakuwa Sasa huduma za Vivuko zinatolewa na Bakhresa kwa utaratibu wa Ubia na Serikali bila kutumia Senti moja ya Kodi Wala Mkopo.
Tumia muda wako kupata madini toka kwa Kafulila.
View attachment 3224842
===
Huyu sio size ya lissu, wateule wote kwanza ni waongo waongo ili mradi tu boss afurahiNapendekeza mdahalo kati ya Kafulila na Mwenyekiti wangu Tundu Lissu
Yes Serikali ya Samia ni Sikivu sana,Mjinga wewe kama hujui kwamba serikali ilienda kufanya marekebisho baadhi ya maeneo yaliyokua na utata umebakia kushupalia upumbavu!
Hata hivyo Kafulila sio mwanasiasaHuyu sio size ya lissu, wateule wote kwanza ni waongo waongo ili mradi tu boss afurahi
TrueHata hivyo Kafulila sio mwanasiasa
CHADEMA wazito kufikiriaUmesikia nani analalamika kwamba ameshindwa kulipia 150k Kwa mwaka?
Na kama ameshindwa Kwa nini asilipie Kwa makundi eg Watoto Wakiwa shule?
Wacha kuwa punguani,sio tuu kwamba kuja Toto Afya Bali Bima Kwa wote imepitoshwa .