Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Tumia allilo, ww sio robot. Hata Kama ndio kazi, huyo aliyekupa kazi lazima atakudharauBasi endelea na mada zako na watu wako
mo simba vp?Bakhresa atanunua tu,siku nimekuta treni inavuta behewa zaidi ya kumi za Azam pekee.
Ushahidi ni mimi mwalimu wake.. yule ni ujanja ujanja tu hanaga kitu kichwani. Hata Ally happy amemaliza masters ya human resources hapa kwa mbinde sana tumemuonea huruma tu. Akisimama jukwani utafikiri ana akili kumbe zero brainLete tu ushahidi Mwalimu tukuamini
Sasa mbona unatoa Siri za wanafuΓ±zi hauna kiapo wewe?Ushahidi ni mimi mwalimu wake.. yule ni ujanja ujanja tu hanaga kitu kichwani. Hata Ally happy amemaliza masters ya human resources hapa kwa mbinde sana tumemuonea huruma tu. Akisimama jukwani utafikiri ana akili kumbe zero brain
Fursa ya mabilioni as capital with high returnwhy sina helaπ©π©π©fursa inapita hiyoooo
Kafulila ameteuliwa nafasi za kisiasa kama RC ambayo yeyote anaweza kuteuliwa lakn ameteuliwa nafasi za utendaji kama RAS, COMMISSIONER FOR PPP na sasa EXECUTIVE DIRECTOR FOR PPP, nafasi ambayo unateuliwa kwa uwezo wa kichwa.Sasa utadisco vipi wakati una akili.
Prof asaad ameshasema watumishi wa umma wanachaguliwa kwa connections siyo akili mana ingekuwa akiki kafulila asingefaa hata mwenyekiti wa nyumba kumiKafulila ameteuliwa nafasi za kisiasa kama RC ambayo yeyote anaweza kuteuliwa lakn ameteuliwa nafasi za utendaji kama RAS, COMMISSIONER FOR PPP na sasa EXECUTIVE DIRECTOR FOR PPP, nafasi ambayo unateuliwa kwa uwezo wa kichwa.
Nenda kawaambie na wenzako.
Sasa wewe ndg yangu sijui kama unaelimu yoyote, kweli mtu awe RAS bila CV ya kueleweka, awe RC, Awe Kamishna wa PPP awe CEO wa PPP kweli huyu mtu anabebwa tu.Prof asaad ameshasema watumishi wa umma wanachaguliwa kwa connections siyo akili mana ingekuwa akiki kafulila asingefaa hata mwenyekiti wa nyumba kumi
Vyeo hivyo havihitaji elimu nzuri ni connection tu. Wenye elimu nzuri wapo chuoni wanafundisha wenye gpa kubwa. Hao wengine unaweza kuta ana gpa ya 1.5 na bado ni directorSasa wewe ndg yangu sijui kama unaelimu yoyote, kweli mtu awe RAS bila CV ya kueleweka, awe RC, Awe Kamishna wa PPP awe CEO wa PPP kweli huyu mtu anabebwa tu.
Haya vipi kuhusu Kigoma Kusuni alipokuwa Mbunge huko nako alibebwa na nani?
Be connected basi weweVyeo hivyo havihitaji elimu nzuri ni connection tu. Wenye elimu nzuri wapo chuoni wanafundisha wenye gpa kubwa. Hao wengine unaweza kuta ana gpa ya 1.5 na bado ni director
πππIla nchi ngumu sanaKwa umeme huu ambao bundi na nyani wanaumudu...!!
πππMayala huenda anawezaHaya matajiri wa JF fursa hiyoooo
Wakichukua wenye hela mtaanza kusema waarabu wanatunyonya
Msiseme sijawashtua au kaeni na mabilioni yenu ya mchongo
Mwache mwanasheria wetu huyo atutetee ππππMayala huenda anaweza
Ila kweli Uchawi upo kweli Pascal Mayalla niwakukosa hata uDC Tanzania?ππMwache mwanasheria wetu huyo atutetee π
Haya mauza uza mnayafanya bila kuwasikiliza wenyenchi,reli yenyewe bado haijaisha tayari mnaanza kuigawana?Mliopo CCM mnataka kujimilikisha kila mradi ambao Wananchi wameugharimia!Mkurugenzi wa Ubia nchi Bwana David Kafulila ameiambia ARIDHIO ya TBC kuwa sasa ni rasmi mtu au kikundi chochote chenye uwezo na nia ya kununua na kuendesha vichwa vya treni pamoja na mabehewa ya SGR wanakaribishwa kufanya hivyo Kwa sharti la Ubia na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila anasema, kama ilivyo kwa miundombinu mingine ya usafiri na usafirishaji ya SerikalΓ akitolea mfano wa barabara za Serikali kuna watu wamenunua Mabasi na wanayaendesha na Serikali inapata kodi lakini kubwa zaidi ni Wananchi kupata huduma bora na nzuri tena kwa wakati huku akitolea mfano wa mradi mkubwa kati ya DART na Mbia ambao kwa kiwango kikubwa uko tayari na mabasi zaidi 170 yataletwa kwa kuanzia divyo itakavyokuwa kwa SGR.
Kafulila anasema Serikali inafanya haya ili kuchachusha Uchumi wa nchi (economic stimulus) ambayo ndio hasa sera halisi na makini za Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan na kwa sera hizi ndiyo zinaifanya Tanzania kuendelea kusalia kileleni kwa uchumi jumuishi kwenye nchi zote za maziwa makuu na baadhi ya nchi kusini mwa Jangwa la sahara.
Kuna uzi wa Mtatiro humu π π€£Ila kweli Uchawi upo kweli Pascal Mayalla niwakukosa hata uDC Tanzania?ππ