Kafulila na Adan- Namtilia shaka Kafulila kulungulwa

Aliporejea kutoka India alisema mengi, lakini hili la Adan akitaka apewe TANESCO kama mwekezaji nasikia harufu kwasababu wenzetu wamesikia harufu toka kwa Adan.

Namtaka Kafulila aje atwambie hii harufu ya Adan kule India hakuisikia kama siyo kupakazwa na yeye?

Ile TICS kachukua Adan. Kafulila kala matapishi yake kupitia sahani ya Adan?
Kuna watu huwa wapo tayari kufanywa kama vikaratasi vya kupangusia uchafu. Huyu Bw. Tumbili ni mmoja wa mfano mzuri sana wa aina ya watu wa namna hiyo.
 
na ndugu Pascal Mayalla utusaidie ni namna gani hizo taasisi nilizotaja zinaweza kutusaidia. https://www.reuters.com/world/india...dicts-group-chairman-bribery-case-2024-11-21/
Mkuu DolphinT , kwanza asante kwa mchango wako huu wa kizalendo, pili naunga mkono hoja, ya possibility ya uwepo wa rushwa ya the grand corruption.

Kwenye the corporate world, kuna rushwa za aina nyingi, rushwa kuu ya kwanza inaitwa "the enticement" hii sio rushwa ya fedha ni rushwa ya kindness to entice your prey kwa kumpa an invitation aje akutembelee.

Unamtumia 1st class plane ticket, from the airport una pick na chauffeur driven limousine na kumuweka in a 5 star hotel, siku ya kwanza unanuacha apumzike kuondoa uchovu wa safari.

Kesho yake unamletea bahasha nene ya cash money kufanyia shopping.

Siku ya 3 unamtembeza kwenye vitega uchumi vyako, na kila akimaliza kutembelea mahali, yeye na ujumbe wake wote wanapewa vi parcel vya zawadi
, expensive gifts, watches, jewelry pens za mont blanc Etc.

Kisha unakuwa advised ufungue a safe foreign account kule Switzerland, tutakuwekea asante yako kule. Hapo watu wa kazi wanakuwa wamemaliza kazi.

Nyerere amekufa masikini kwasababu alikataa vitu kama hivi!.

Laiti Watanzania wangemjua mdhamini na the cost ya kuitengeneza ile senema yetu ya royo tua na steling amelipwa kiasi gani, na nani, na kuangalia mwisho wa siku huyo mdhamini anakuja kupata nini ndio mtaelewa.

Hata DP World, walianzia mbali
, wamejenga ICD Kigali ya ukubwa 3x Dar port, with no sea access, hivyo piga ua galagaza lazima Dar port ipatikane!.

Watu wa kazi wakaingia kazini
, ujumbe wa Tanzania ukadhaminiwa with fully sponsored sponsorship kuhudhuria maonyesho ya Expo Dubai , kule ikaandaliwa Tanzania Day, Watu wakafanya mambo, mara paap... DP World, ndani ya Nyumba!.
P
 
Mchango bora kabisa huu,Nisha andika mara kadhaa humu na leo naandika tena,viongozi wetu na watu ambao wapo kwenye ofisi za umma,ndo madalali na makuwadi wa rasilimali zilizipo nchini mwetu.

Madalali hawa hawa ndo walitumiwa na JK, kwenye kupamba mapambia ya umeme wa gesi kule Mtwara na umma ukaingia kwenye 18,kuja kushtuka tayali tumeliwa kichwa,mchana kweupe.

Hizi safari za viongozi wengi wa Tanzania kwenda nje lengo huwa kutembeza bakuri na kufanya udalali na ukuwadi wa kuuza mali za umma.
 
nchi hii inaliwa sana. mtu mwenyewe kafulila, hivi unahitaji kujiuliza hata swali moja kweli? na pamoja na kwamba adan ameshakuwa declared mla rushwa marekani, na wenzetu wa kenya wamevunja mkataba, bado sisi tutamkumbatia, kwa sababu tulikuwa rushwa yake. Mungu likomboe hili taifa.
Eeh MUNGU utunusuru na adha hizi.
 
Mkuu DolphinT , kwanza asante kwa mchango wako huu wa kizalendo, pili naunga mkono hoja, ya possibility ya uwepo wa rushwa ya the grand corruption.

Kwenye the corporate world, kuna rushwa za aina nyingi, rushwa kuu ya kwanza inaitwa "the enticement" hii sio rushwa ya fedha ni rushwa ya kindness to entice your prey kwa kumpa an invitation aje akutembelee.

Unamtumia 1st class plane ticket, from the airport una pick na chauffeur driven limousine na kumuweka in a 5 star hotel, siku ya kwanza unanuacha apumzike kuondoa uchovu wa safari.

Kesho yake unamletea bahasha nene ya cash money kufanyia shopping.

Siku ya 3 unamtembeza kwenye vitega uchumi vyako, na kila akimaliza kutembelea mahali, yeye na ujumbe wake wote wanapewa vi parcel vya zawadi
, expensive gifts, watches, jewelry pens za mont blanc Etc.

Kisha unakuwa advised ufungue a safe foreign account kule Switzerland, tutakuwekea asante yako kule. Hapo watu wa kazi wanakuwa wamemaliza kazi.

Nyerere amekufa masikini kwasababu alikataa vitu kama hivi!.

Laiti Watanzania wangemjua mdhamini na the cost ya kuitengeneza ile senema yetu ya royo tua na steling amelipwa kiasi gani, na nani, na kuangalia mwisho wa siku huyo mdhamini anakuja kupata nini ndio mtaelewa.

Hata DP World, walianzia mbali
, wamejenga ICD Kigali ya ukubwa 3x Dar port, with no sea access, hivyo piga ua galagaza lazima Dar port ipatikane!.

Watu wa kazi wakaingia kazini
, ujumbe wa Tanzania ukadhaminiwa with fully sponsored sponsorship kuhudhuria maonyesho ya Expo Dubai , kule ikaandaliwa Tanzania Day, Watu wakafanya mambo, mara paap... DP World, ndani ya Nyumba!.
P
Na tuamke ili tuiokoe nchi yetu maana tunaangamia.
 
Aliporejea kutoka India alisema mengi, lakini hili la Adan akitaka apewe TANESCO kama mwekezaji nasikia harufu kwasababu wenzetu wamesikia harufu toka kwa Adan.

Namtaka Kafulila aje atwambie hii harufu ya Adan kule India hakuisikia kama siyo kupakazwa na yeye?

Ile TICS kachukua Adan. Kafulila kala matapishi yake kupitia sahani ya Adan?
 
Aliporejea kutoka India alisema mengi, lakini hili la Adan akitaka apewe TANESCO kama mwekezaji nasikia harufu kwasababu wenzetu wamesikia harufu toka kwa Adan.

Namtaka Kafulila aje atwambie hii harufu ya Adan kule India hakuisikia kama siyo kupakazwa na yeye?

Ile TICS kachukua Adan. Kafulila kala matapishi yake kupitia sahani ya Adan?
Kwanza hakuna mtu anaweza kukataa hela ya hongo Ili apate tenda ,na Kwa taarifa Yako tuu wakandarasi wote kuanzia Wachina Hadi wa Kawaida wanatoa hongo ndio wapate kazi so Wala hakuna Cha ajabu Kwa Adani au Kafulira ndivyo mambo yanaenda
 
Aliporejea kutoka India alisema mengi, lakini hili la Adan akitaka apewe TANESCO kama mwekezaji nasikia harufu kwasababu wenzetu wamesikia harufu toka kwa Adan.

Namtaka Kafulila aje atwambie hii harufu ya Adan kule India hakuisikia kama siyo kupakazwa na yeye?

Ile TICS kachukua Adan. Kafulila kala matapishi yake kupitia sahani ya Adan?
Kafulila kashaingia kwenye ccm cartel ya ufisadi. Kategwa kategeka
Kwisha Habari yake naye ni miongoni mwa mafisadi
 
Aliporejea kutoka India alisema mengi, lakini hili la Adan akitaka apewe TANESCO kama mwekezaji nasikia harufu kwasababu wenzetu wamesikia harufu toka kwa Adan.

Namtaka Kafulila aje atwambie hii harufu ya Adan kule India hakuisikia kama siyo kupakazwa na yeye?

Ile TICS kachukua Adan. Kafulila kala matapishi yake kupitia sahani ya Adan?
Kafulila kugeuka na kuwa dalali mwandamizi wa Adan ni ishara ya kuonesha kuwa alipewa mziga wa asali.
 
Wizi na Rushwa ni sehemu ya Serikali yetu, kauli za kama kula kwa urefu wa kamba na haya mamilioni yanayotolewa makanisani, kwenye mpira na gharama kubwa iliyotumika kutuaminisha kwamba DP world ni mkombozi wa bandari zetu hata kuwapa watanzania kesi za uhaini ni ishara wazi kwamba walioko na dhamana ni Wala Rushwa wakubwa! Ukitaka kujua Hilo hebu waibuke watu watafute ABC za namna alivyopewa Bandari, na kwanini Kafulila alienda India badala ya mwenye Nia ya kuwekeza kuja mwenyewe? Yale ya kusaini mikataba kwenye ndege yanajirudia! Watu hao watakapoji utaona kundi la nzi na chawa watakavyowahsambulia kwa lugha tata huku magereza yakiwasubiri. Kenya wameamua sisi hatuwezi
Yawezekana Kafulila hakwenda kwa njia ya kupata hongo.Yeye alifyatuka au alikimbilia kupata PPP kubwa kubwa,na kweli Adani ni kigogo tena mshirika mkuu wa Waziri Mkuu wa India.

Kitu ambacho Kafulila hana uzoefu nacho ni hao wahindi wazito,sampuli ya Adani, hata wale wakumshauri au kumsaidia hawana kinga kwa Mwamba Adani.Ni sumaku ya rushwa.

Mfano mzuri ni Kenya.
Adani kawachafua viongozi wakuu wa serikali ya Kenya hadi Raisi Ruto na wasaidizi wake wamechafuka, hadi mkuu wa wabunge wa serikali Ichungwa kachafuka kwa kuchukuwa maokoto toka kwa Njemba hiyo Dubai.
Si hiyo tu Mkuu wa chama cha Upinzani Raila alionjeshwa asali akachonga mzinga aliposema Adani ni msafi kama kitambaa cheupe.

Njia mmoja ya msingi ni kukaa mbali na mwamba huyo.
Ila kama Kafulila ameisha sign Momerundum of Understanding (MOU) tu yawezekana tukamlipa Adani pesa kidogo ya usumbufu.
Lakini kwa Kenya ni jambo gumu walitia mkataba kuwa kama wakivunja mkataba kesi hiyo isikilizwe Port Louis Mauritius kisiwa cha wahindi.na kuna gazeti la Kenya liliweka kitita kikubwa cha fidia
kubwa ambacho inatisha kujitia kuvunja mkataba.
Yajayo yana......
 
1. Unaposema inawezekana hakufuata Rushwa nakataa kabisa kukubaliana na wewe. Labda useme inawezekana alifuata Rushwa Ili asiwe alifuata. Hii ni kutokana na ukweli kwamba viongozi wengi wa bara la Africa wanapopta political and executive positions Huwa wanakuwa Wala Rushwa wakubwa. Kama huyu bourgeoisie aliweza kuwahonga Maafisa wa USA licha ya Taifa Hilo kuwa na mifumo huru na iliyo makini katika ufuatiliaji wa maslahi ya mataifa Yao, ni rahisi sana kufanya hivyo kwenye hili Taifa la Wajinga wengi.

2. Kwa Kenya hakuna ugumu ulioandika Kwa sababu Alhamisi kwa mujibu wa BBC na DW Rais Ruto alifutilia mbali mikataba Yote na bwana Adan!
 
Aliporejea kutoka India alisema mengi, lakini hili la Adan akitaka apewe TANESCO kama mwekezaji nasikia harufu kwasababu wenzetu wamesikia harufu toka kwa Adan.

Namtaka Kafulila aje atwambie hii harufu ya Adan kule India hakuisikia kama siyo kupakazwa na yeye?

Ile TICS kachukua Adan. Kafulila kala matapishi yake kupitia sahani ya Adan?
Nimecheka kwa sauti eti "Kulungulwa"
 
1. Unaposema inawezekana hakufuata Rushwa nakataa kabisa kukubaliana na wewe. Labda useme inawezekana alifuata Rushwa Ili asiwe alifuata. Hii ni kutokana na ukweli kwamba viongozi wengi wa bara la Africa wanapopta political and executive positions Huwa wanakuwa Wala Rushwa wakubwa. Kama huyu bourgeoisie aliweza kuwahonga Maafisa wa USA licha ya Taifa Hilo kuwa na mifumo huru na iliyo makini katika ufuatiliaji wa maslahi ya mataifa Yao, ni rahisi sana kufanya hivyo kwenye hili Taifa la Wajinga wengi.

2. Kwa Kenya hakuna ugumu ulioandika Kwa sababu Alhamisi kwa mujibu wa BBC na DW Rais Ruto alifutilia mbali mikataba Yote na bwana Adan!
Hakuna ushahidi wa Kafulila kuwa alifuata rushwa,yeye kama mkurugenzi wa PPP alifuata wawekezaji wakubwa na ndio kazi yake.Hakuna ushaidi kuwa alijaribiwa lakini kwanini kujiingiza majaribuni na watu kama Adani?
Kumbe Adani ni mshirika mkuu wa Waziri Mkuu wa India ilikuwa kazi rahisi kwa pande zote mbili kufanya mazungumzo.Kumbuka Kafulila anawakilisha serikali.
 
Back
Top Bottom