Kafulila na Adan- Namtilia shaka Kafulila kulungulwa

Asante sana Mkuu Dolphin T. Hakika tusipopiga kelele hata kwa njia hii hapa JF huyu atatumaliza. Kama ulivyosema TAKUKURU na TISS wako kwenye majukumu ya kujinufaisha wao binafsi. Hawa wa Vibastola wanaeleweka na lugha yao ya " Unajua Minani?" Hawa TAKUKURU sasa ni TAASISI YA KUDAI NA KUCHUKUA RUSHWA. hawana hata aibu. Kuna mwaka walifanya sherehe nadhani ya kuukaribisha mwaka kule Kigamboni, sasa kuna dada alizinguliwa na Kaka kwenye kazi zao huko nyuma. Inasemekana huyu kaka alizuia dada asiweze kuchukua rushwa kwa tajiri mmoja hela kubwa sana. Sasa dada akawa na bifu na huyu kaka. Siku ya kuukaribisha mwaka mpya ilikuwa ni hitimisho la kupumua yule kaka na ikawa mwanzo wa maisha mapya gerezani kwa yule dada bastola ilifanya yake kwa kaka wa watu. Kwahiyo hawa si watu wa kuaminika tena ilikuwa zamani. Kulinganisha zamani na sasa ukisoma Makala ya Pascal Mayalla jinsi Mkurugenzi wa TISS Mzee Emilio Mzena alivyo staafishwa utaona viongozi wetu walivyokuwa committed kufanya kazi. Leo hii hawa watu wa Taasisi hizi mbili si watu wema tena kwa taifa letu. Nikiikumbuka kesi ya Loliondo na Ngorongoro nalia machozi tu. Naamini ipo siku Tanzania itarudi kwenye ramani yake. Asante Dolphin T.
 
Pascal Mayalla Mungu akulinde.
 
Kwanza hakuna mtu anaweza kukataa hela ya hongo Ili apate tenda ,na Kwa taarifa Yako tuu wakandarasi wote kuanzia Wachina Hadi wa Kawaida wanatoa hongo ndio wapate kazi so Wala hakuna Cha ajabu Kwa Adani au Kafulira ndivyo mambo yanaenda
Usitumie makalio kufikiri.

Unaona sawa kutoa rushwa kupata tenda??

Hivi umepitia tena ulichoandika. Kumbuka maandiko yako huwa yanasupport awamu hii na sidhani kama wahusika watafurahi kuona unaandika kama kutoa rushwa ni jambo la kawaida??
 
Adani huwa hafanyi dili kubwa bila kuwalainisha watu kwa rushwa.

Ndiyo maana Wamarekani wamemkataa.

Kafulila kashachukua cha juu. Kama angekuwa hajachukua cha juu asingempigia debe mtu mchafu kama Adani.

Kafulila si mjinga ampigie debe mtu mchafu burebure.
 
Usitumie makalio kufikiri.

Unaona sawa kutoa rushwa kupata tenda??

Hivi umepitia tena ulichoandika. Kumbuka maandiko yako huwa yanasupport awamu hii na sidhani kama wahusika watafurahi kuona unaandika kama kutoa rushwa ni jambo la kawaida??
Ni sawa kabisa kama hutaki kutoa unda kampuni Yako uone kama hujaifunga 😆😆

Wewe Kwa akili Yako mbovu unajua kwamba watu Huwa wanapata Kwa Haki bin vuu,tukifuata Haki kazi zitakwama maana sheria inamtaka lowest bidder 😆😆
 
Adani ameshapewa Bandari.

Asipewe na Tanesco tena.

Please.
Ndio unaona Leo! Siku zote unapowasifia Hawa madalali wa nchi , badala ya kupigania mifumo imara inayolazimisha uwajibikaji, unakuja kusema asipewe, after sometime utakapokuja kujua DP world wanasaga mifupa utajua hujui
 
Ni sawa kabisa kama hutaki kutoa unda kampuni Yako uone kama hujaifunga 😆😆

Wewe Kwa akili Yako mbovu unajua kwamba watu Huwa wanapata Kwa Haki bin vuu,tukifuata Haki kazi zitakwama maana sheria inamtaka lowest bidder 😆😆
Wewe ni Mjinga na ni hasara kwa Familia Yako naTaifa
 
Penye udhia tia shekeli
Wenye macho watakuwa vipofu
Wenye masikio watakuwa viziwi
 
Wewe ni maskini unazuza genge,duka nk huna kampuni ndio maana hujui nachoongea
In many poor countries Tanzania included, individuals who oppose corruption often face personal attacks rather than their arguments being addressed. This is an example of the ad hominem fallacy, where critics target the individual’s assumed characteristics, such as their poverty, to undermine their credibility. Instead of discussing the argument, attackers use irrelevant personal traits to discredit the person, which is logically flawed.

For instance, when someone advocates for fairness in awarding public tenders, they might be dismissed with statements like, “Why should we listen to you? You’re just a poor person.” This shift in focus from the issue of corruption to the person’s financial status distracts from the validity of their argument. Such reasoning is harmful, as a person’s financial condition has no bearing on the truth of their stance.

The broader implications of this tactic are significant. First, it silences opposition by discouraging individuals from speaking out, especially when they lack economic power. Second, it perpetuates inequality by implying that only the wealthy or powerful have the right to influence public discourse. Lastly, it misdirects attention, allowing corruption in public tenders to persist unchallenged. pascal Mayala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…