Kafulila na PPP yake walete viwanda binafasi vya kuuza maji kutoa huduma ya maji majumbani kwa PPP.

Kafulila na PPP yake walete viwanda binafasi vya kuuza maji kutoa huduma ya maji majumbani kwa PPP.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, unakuta sehemu nyingi zenye viwanda vya maji vinavyouza maji ya chupa nchi nzima raia wanaozunguka hivyo viwanda hawana maji safi laini ya bomba hata ya kunywa na kupikia tu.

Sasa kwa sababu viwanda vya maji vya akina Azam, Kilimanjaro, GSM, Hill Water na vingine vingi vina ufanisi mkubwa hivyo wa biashara ya maji kiasi cha kuweza kuuza maji nchi nzima serikali inapaswa kuwapa biashara ya kutoa huduma ya maji kwa mabomba katika makazi ya watu.

Serikali yenyewe ijenge mabomba makubwa tu ya maji kupitisha mitaani halafu hivyo viwanda viuze maji kupitia hayo mabomba.

Hiyo ndio PPP ya kweli sasa ndugu Kafulila badala ya maneno matupu ya porojo kwenye shule na vyuo kwa wanafunzi.
 
Rudia kusoma ulichoandika...utagundua huna point hata moja...
 
Back
Top Bottom