Financial Intelligence
JF-Expert Member
- Sep 29, 2023
- 233
- 437
Hiki ndicho alichokiandika Kafulila kwenye Ukurasa wake wa X,
"Kati ya mwaka 2000 na 2025, pato la kila Mtanzania liliongezeka mara manne ( 4 ) kutoka US$360 mpaka US$ 1500 kama ikiendelea hivyo, mwaka 2050, pato la kila Mtanzania litakuwa US$ 6,000 sawa na Pato la Mwafrica ya Kusini leo lakini kwa makadirio ya idadi ya Watanzania ni watu 140m ifikapo mwaka 2050, maana yake uchumi wa Tanzània utafikisha US$840bn zaid ya mara 2 ya uchumi wa Africa ya Kusini ya. leo"
Kwa takwimu hizi za David Kafulila pengine Tanzania inahitaji akina Kafulila wengi ili kufikia Tanzania tunayoitarajia na kuitamani kuelekea 2050.
Soma Pia: Kafulila: Kwa Utafiti uliopo ndani ya miaka 25 ijayo Tanzania italazimika kujenga uchumi sawa au zaidi ya Afrika ya Kusini ya leo