Kafulila: Pato la Kila Mtanzania litafikia TZS 17M kwa mwaka 2050

Kafulila: Pato la Kila Mtanzania litafikia TZS 17M kwa mwaka 2050

Hiki ndicho alichokiandika Kafulila kwenye Ukurasa wake wa X,

"Kati ya mwaka 2000 na 2025, pato la mtz litaongezeka mara 4 kutoka usd 360 mpaka usd 1500. Ikiendelea hivyo, mwaka 2050, pato la mtz litakuwa usd 6000 sawa na SA leo lakini kwa makadirio ya idadi ya watz ni 140m mwaka 2050, maana yake uchumi utafikisha usd 840bn zaid ya mara 2 ya uchumi wa SA leo"

Tanzania inahitaji akina Kafulila wengi ili kufikia Tanzania tunayoitarajia na kuitamani kuelekea 2050.

Soma Pia: Kafulila: Kwa Utafiti uliopo ndani ya miaka 25 ijayo Tanzania italazimika kujenga uchumi sawa au zaidi ya Afrika ya Kusini ya leo

Mtanzania yupi.? Ukiwa umeshiba usiwadhihaki wenye njaa. Yaani uende kijijini uwaambie kejeli kama hizi kweli si watakuchoma Moto
 
Huyu Kafulila hana utofauti na watu wa Hali ya hewa/wapiga ramli/ motivation speaker
 
Yuko sahihi maana kwa kipindi hicho mfumuko wa bei utakua juu kibiriti kitauzwa 500 ,unga kilo itakua 3000 kwahiyo itakua kama sasahivi tu
 
Tumbili nae amezidi kubwabwaja
Hapana huo ni Uongo ,hakuna!!
Ni sawa na hadithi za kusadikika za mfalme Jesha!
Kwa mtu mwenye akili zake timamu sawa sawa kabisa na ambaye anaijua vizuri nchi hii pamoja na kuujua vizuri aina ya mtindo wa Utawala wa nchi hii jinsi ulivyo, KAMWE hawezi kumsikiliza huyo mtu anayeitwa David Kafulila and the like kuhusiana na masuala ya uchumi wa nchi hii. It's an idiot!
 
Sasa utabiri unawezaje kuwa hewa kabla ya muda wake kutumia?
Utabiri lazima uendane na Kile kinachofanyika wakati uliopo, ukiangalia jinsi mambo yanavyoenda nchini kwa wakati huu haikupi hayo matumaini anayoongelea huyo Tumbiri
 
Hiki ndicho alichokiandika Kafulila kwenye Ukurasa wake wa X,

"Kati ya mwaka 2000 na 2025, pato la mtz litaongezeka mara 4 kutoka usd 360 mpaka usd 1500. Ikiendelea hivyo, mwaka 2050, pato la mtz litakuwa usd 6000 sawa na SA leo lakini kwa makadirio ya idadi ya watz ni 140m mwaka 2050, maana yake uchumi utafikisha usd 840bn zaid ya mara 2 ya uchumi wa SA leo"

Tanzania inahitaji akina Kafulila wengi ili kufikia Tanzania tunayoitarajia na kuitamani kuelekea 2050.

Soma Pia: Kafulila: Kwa Utafiti uliopo ndani ya miaka 25 ijayo Tanzania italazimika kujenga uchumi sawa au zaidi ya Afrika ya Kusini ya leo

na vitu vimepanda mara mia ngapi toka huo mwaka 2000 hadi leo
chukuamfano sukari ilikuwa shilingi 200 na leo ni kati ya 3000 na 4000
 
Lazima kuhakikisha uchumi unashikwa na watanzania asilia kwa asilimia kubwa, vinginevyo hizo namba hazina maana yoyote.
Mapato yakichukuliwa na wageni, serikali ikawa na takwimu na kumbukumbu zitamsaidia nini mtanzania ambaye atakuwa mtumwa katika nchi yake?
 
Back
Top Bottom