Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tunataka vitendo kama anataka kuongea akawe Afisa Habari wa Yanga au SimbaKazi yake ndio hiyo kuongea 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka vitendo kama anataka kuongea akawe Afisa Habari wa Yanga au SimbaKazi yake ndio hiyo kuongea 😂😂
Yes tuone vitendoNi kweli, Kafulila anaongea Sana, maneno mengi sana, anaongea Kama mwanamke wa kizaramo.
Suala la Ubia halitaki maneno mengi Bali vitendo
Hata huyo anayehoji utanzania wa Kafulila ukimpeleleza utagundua sio mtanzania kamili.Kafulila ni Mtanzania 😂😂
SahihiHata huyo anayehoji utanzania wa Kafulila ukimpeleleza utagundua sio mtanzania kamili.
Yaani uchukue nchi nzima?Ppp tunapeleka wapi proposal...... watu tuanze na nchi
Sijamaanisha hivyoo 😃😃😃Yaani uchukue nchi nzima?
Kwahiyo Nini kifanyike?Sijamaanisha hivyoo 😃😃😃
Ni kama ile msemo 'Tuanze na Mungu'.......
Kuna projekti ingefaa sana ifanywe ki PPP ina manufaa kwa wote lakini gharama za kuanza ni kubwa mnooo
Hongera sana mwandishi kwa ufafanuzi mzuri sanaView attachment 3140086
View attachment 3140340
Hiki ndicho alichoandika Director wa PPP Tanzania Bw. David Kafulila huko kwenye akaunti yake ya X zamani tweeter.
Mkurugenzi huyo ameandika haya ili kuwatoa hofu wanaodhani huenda nchi yetu ikapata hasara ya mali na fedha kwa kuingia Ubia na Sekta binafsi toka ndani au nje ya Tanzania.
KAFULILA anarejelea Serikali ya awamu ya tatu Chini ya Hayati Rais Dkt. Benjamin Mkapa ambae katika kitabu chake Cha "My Life My Purpose " anasema baada ya kuuza mali za Umma kwa ubinafsishaji yakiwemo mashirika makubwa kama NBC kwa kupitia PSRC yaani Parastatal Sector Reform Commission anakiri alifanya makosa kuifuta tume hiyo ili ifanye ufuatiliaji wa mali zake zote ilizozifanyia ubinafshaji jambo lililozaa watu kuchukua mali za umma na kuzibadilishia matumizi, kukopea benki na uharibifu mwingine mwingi.
Kafulila anasema kwenye PPP Serikali na Sekta binafsi watamiliki mradi kwa pamoja na Serikali itakuwa ndio mwangalizi mkuu wa mradi kwa muda wote wa Mkataba na hii ndio tofauti kati ya Ubinafsishaji wa kipindi cha awamu ya tatu na Ubinafsishaji huu wa awamu ya sita kwa njia salama ya PPP.
Kafulila anasema PPP haiuzi mali za umma kama ilivyokuwa kwa PSRC bali inakodisha kwa kipindi maalum na baada kukodisha Serikali haiondoki kwenye mradi kwa kipindi chote cha Mkataba.
Na kwa ile miradi mipya itakayojengwa kwa Ubia kama zile Hosteli pale CBE baada ya muda wa Ubia kuisha miradi ile inarudi kuwa mali ya Serikali kwa asilimia 100.
Hata hivyo, ingawa haimaanishi Ubinafsishaji wa awamu ya tatu lilikuwa ni jambo baya hapana kwani ilikuwa ni njia sahihi ya kujenga Uchumi wa kisasa "modern economy" lakini matatizo hayawezi kuisha kabisa ila uamuzi wa Mzee Benjamin Mkapa wa ubinafshaji umekuwa na faida nyingi kuliko hasara Leo.
Pia soma Kwani Tulifeli vipi kwenye Ubinafsishaji wa Awamu ya 2 hadi Tufaulu sasa kwenye PPP ya David Kafulila?
Project zile za kijamii mfano Sahili Movies zifanywe ki PPP.Kwahiyo Nini kifanyike?
Alijutia wapi???View attachment 3140086

Wewe umesoma hicho kitabu?Alijutia wapi???
Mbona kwenye kitabu chake hajaiweka hii.
Ndio.Wewe umesoma hicho kitabu?
TRA, TAKUKURU na kila taasisi unayoiona ni zao la MkapaMkapa alikuwa mwamba sana wa Uchumi wetu
Yes Mkapa ndio mtu pekee aliyeanzisha centralizationTRA, TAKUKURU na kila taasisi unayoiona ni zao la Mkapa