Kafulila: Rais Samia kuongoza mwelekeo wa Tanzania ya miaka 25 ijayo baada ya ile 25 ya Mkapa kukamilika

Mama mitano tena! Kazi iendelee
 
Kuna wakati unaweza ukazuga huoni kazi za Mama ila macho yatakuwa yanakugomea kabisa
 
Aisee hawa jamaa wana uelewa mdogo mno wa mambo.

Hivi Sampuli ya Kafulila ambae hajui dira ni nini (objective), kwa maelezo yake anaweza kweli kuongelea maswala ya objective.

Kama kupanga hiyo mikakati kufikia objectives za serikali (objectives) panapo kuwa na dira hayo mambo yanataka ufafanuzi wa Kafulila au ni kazi ya makatibu wakuu wa wizara kwanza na katibu mkuu kiongozi kupanga strategy.

Mambo sio rahisi hivyo yanavyofanyika duniani, hawa watu hasa civil servants hawana uwezo.

Plato wrote ‘The Republic’ around 350 BC, na ship allegory ndio msingi wa civil services.

Tanzania kila kitu rahisi, ila ukiwasikiliza hawa watu sio wanasiasa tu, hata hao interviewers, commentators wa majukwaani.

Watu watu wana uwezo mdogo mno kulinganisha na wenzetu.

Wazungu wana akili enhe sio mzaha, ukisikia katibu mkuu wa wizara au senior servant mwenye nafasi ya Kafulila sio mtu wa mchezo-mchezo kwenye hoja husika.

Nchi inahitaji social reformers, watanzania wana uwezo mdogo mno.

Ndio ukweli
 
Nchi hii ni Tajiri sana utajiri huu up ulete faida kwa Watanzania wote
 
Cde nakuoata sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…