Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
KazikaziHapana tunalisongesha kamanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KazikaziHapana tunalisongesha kamanda
Mnafarijiana ujinga, hakuna chama hapoKazikazi
Mwambie mumeo aanzishe chama tuhamie hukoMnafarijiana ujinga, hakuna chama hapo
Daaah kamanda😂Mwambie mumeo aanzishe chama tuhamie huko
Unaukike kike mwingiMwambie mumeo aanzishe chama tuhamie huko
😂😂Sasa pale PPP unaiba nini mangi?
Mama mitano tena! Kazi iendelee===
Huu ni mwaka ambao Dira ya Maendeleo ya Taifa ya awamu ya tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa (2000-2025) imekamilika kwa mafanikio wakati Dira ya Sasa ya 2025-2050 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeandaliwa na inasubiri kuzinduliwa tu kwa mafanikio pamoja na kwamba huu ni mwaka wa Uchaguzi alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila.
Kwenye Dunia hii ambayo ni ya Utandawazi ( information age ) Mahitaji ya binadamu duniani kote yamezidi kuwa makubwa zaidi ukilinganisha na uwezo w Serikali zetu zote duniani kuyakidhi Mahitaji hayo kwa kutumia Mikopo na Kodi ndio sababu Dunia inatutaka sisi kama Serikali kutafuta njia Mbadala ya kuendesha bajeti zetu nje ya Kodi au Mikopo alisisitiza.
Anasema, Kwa mujibu wa Ripoti ya IMF ya Oct 2024 uchumi wa dunia wa Serikali zote duniani umefikia US$ 102trilion wakati deni la dunia ni asilimia 95 ya Uchumi huo, Vile vile Deni lote la sekta binafsi nalo limefikia $164Trilioni huku Uchumi wote wa Dunia ukifikia $110trilioni ( Serikali & private ) lakini deni lote la Serikali, Sekta binafsi na Kaya jumla yake ni US$ 320 trilioni, Kwa maana nyingine deni la Dunia ni karibu mara tatu ya Uchumi wote wa Dunia kwa lugha nyepesi Dunia hii inaendeshwa kwa Mikopo.
Kafulila anasema wakati Uwiano wa deni la Africa kwa Uchumi wa Africa ni 67% Tanzania iko katika Hali nzuri kwani Uchumi kwa deni ni 47% wakati Kenya ni 70%, Rwanda% 71, Malawi 84% Msumbiji 96% Ghana 90% hivyo mwenendo wa deni la Tanzània kwa Uchumi wake ni mzuri ukilingamishwa na Chumi za nchi nyingi za Africa Mashariki na kati na Kusini.
View attachment 3231060
Hata 10 ni sawa tuMama mitano tena! Kazi iendelee
Tatizo Katiba acha ukilazaHata 10 ni sawa tu
Mama anavutia sana tuTatizo Katiba acha ukilaza
Hata uchawa ni kituAnakitu gani zaidi ya uchawa?
Mama hakamatikiKuna wakati unaweza ukazuga huoni kazi za Mama ila macho yatakuwa yanakugomea kabisa
All the bests
NakubaliIla Kafulila Kuna kitu anacho Cha kipekee hata kama hatupendi kuwasifia watu wakiwa hai
Nchi hii ni Tajiri sana utajiri huu up ulete faida kwa Watanzania wote===
Huu ni mwaka ambao Dira ya Maendeleo ya Taifa ya awamu ya tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa (2000-2025) imekamilika kwa mafanikio wakati Dira ya Sasa ya 2025-2050 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeandaliwa na inasubiri kuzinduliwa tu kwa mafanikio pamoja na kwamba huu ni mwaka wa Uchaguzi alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila.
Kwenye Dunia hii ambayo ni ya Utandawazi ( information age ) Mahitaji ya binadamu duniani kote yamezidi kuwa makubwa zaidi ukilinganisha na uwezo w Serikali zetu zote duniani kuyakidhi Mahitaji hayo kwa kutumia Mikopo na Kodi ndio sababu Dunia inatutaka sisi kama Serikali kutafuta njia Mbadala ya kuendesha bajeti zetu nje ya Kodi au Mikopo alisisitiza.
Anasema, Kwa mujibu wa Ripoti ya IMF ya Oct 2024 uchumi wa dunia wa Serikali zote duniani umefikia US$ 102trilion wakati deni la dunia ni asilimia 95 ya Uchumi huo, Vile vile Deni lote la sekta binafsi nalo limefikia $164Trilioni huku Uchumi wote wa Dunia ukifikia $110trilioni ( Serikali & private ) lakini deni lote la Serikali, Sekta binafsi na Kaya jumla yake ni US$ 320 trilioni, Kwa maana nyingine deni la Dunia ni karibu mara tatu ya Uchumi wote wa Dunia kwa lugha nyepesi Dunia hii inaendeshwa kwa Mikopo.
Kafulila anasema wakati Uwiano wa deni la Africa kwa Uchumi wa Africa ni 67% Tanzania iko katika Hali nzuri kwani Uchumi kwa deni ni 47% wakati Kenya ni 70%, Rwanda% 71, Malawi 84% Msumbiji 96% Ghana 90% hivyo mwenendo wa deni la Tanzània kwa Uchumi wake ni mzuri ukilingamishwa na Chumi za nchi nyingi za Africa Mashariki na kati na Kusini.
View attachment 3231060
Cde nakuoata sana===

Njaa inakusumbua sanaKafulila akishaiba huwa anakuja kusifia sababu dira inamruhusu kuiba bila kusumbuliwa