Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru

Naona hili andiko limewatoa Nyonyo wabaya wa Mama
 
Ila kwenye hili la Elimu Tanzania tuko nyuma Sana,

Rais Samia 2025 Mimi nitamchagua kiroho Safi kabisa yaani

Nilifanya makosa 2020 nilichagua watu ata Ofisi tu hawana na wanamika 32.

Mtanisamehe sitarudia tena,
kazi ifanyike tupate Mapinduzi ya Elimu nchi
 
BAVICHA Jengeni,ofisi,
BAVICHA Jengeni hoja,

Mimi naeleza ukweli sio unavyotaka wewe. Uchawa utatumaliza Kama alivyosema jenerali ulimwengu. Akina Nyerere na Sykes wangekuwa chawa Kama kafulila kuisifu status tungekuwa bado Chini ya malikia.
 
Unajua kwanini alitoka CHADEMA?. Kwanza ujue alikuwa CHADEMA akafukuzwa, akaenda NCCR alivyoanguka ubunge 2015 akarudi CHADEMA. Sasa Kuna siku Magufuli alikuwa huko uvinza kwenye mkutano wa hadhara akamsifia Sana Kafulila , hiyo ndio ikawa sababu ya kafulila kuhamia CCM . Ni Magufuli ndio alimleta CCM Sasa hayupo.
 
Mimi naeleza ukweli sio unavyotaka wewe. Uchawa utatumaliza Kama alivyosema jenerali ulimwengu. Akina Nyerere na Sykes wangekuwa chawa Kama kafulila kuisifu status tungekuwa bado Chini ya malikia.
Tatizo lako unamtazama Kafulila kama mwanachama wa CHADEMA,
 
Ungesema huo mfumo wa elimu ni upi,ukoje,na wasomi watasoma nini watajiajiri vipi!!

Sio kusifu mfumo wa elimu ambao hujui wanafunzi watasoma Nini!!!

Kupunguza idadi ya miaka ya kukaa shule sio mfumo mpya wa Elimu bali siasa kwenye Elimu!!

Nadhani kafikirie upya!
 
Kwa nn asijiajiri?Kwan maisha bila teuzi hayaendi? Mbona wakuu wengine wapo kimya wapo busy na maisha mengine nje ya uteuzi?
 
Kwa madini haya konki, mimi ni nani hadi nimuite kafulila tumbili...
 
Hebu mpeni teuzi kafulila [emoji1]

Ova
 
Ila kwenye hili la Elimu Tanzania tuko nyuma Sana,

Rais Samia 2025 Mimi nitamchagua kiroho Safi kabisa yaani

Nilifanya makosa 2020 nilichagua watu ata Ofisi tu hawana na wanamika 32.

Mtanisamehe sitarudia tena,
Unamsamehe vipi chizi?
 
Sekta ya elimu imeboreshwa sana chini ya Rais Samia Suluhu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…