econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kafulila ni hatari Sana
Alikuwa hatari zamani sio Sasa hivi. Amejishusha Kama akina kangi lugola kwa kuwaabudu wanadamu na mwishowe wakapotea. Nafurahi kujisimamia mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafulila ni hatari Sana
BAVICHA Jengeni,ofisi,Alikuwa hatari zamani sio Sasa hivi. Amejishusha Kama akina kangi lugola kwa kuwaabudu wanadamu na mwishowe wakapotea. Nafurahi kujisimamia mwenyewe.
Naona hili andiko limewatoa Nyonyo wabaya wa Mama===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,
Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,
Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,
#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
===

BAVICHA na Vita ya Urais ndio Wabaya wa Kafulila,Naona hili andiko limewatoa Nyonyo wabaya wa Mama
kazi ifanyike tupate Mapinduzi ya Elimu nchiIla kwenye hili la Elimu Tanzania tuko nyuma Sana,
Rais Samia 2025 Mimi nitamchagua kiroho Safi kabisa yaani
Nilifanya makosa 2020 nilichagua watu ata Ofisi tu hawana na wanamika 32.
Mtanisamehe sitarudia tena,
BAVICHA Jengeni,ofisi,
BAVICHA Jengeni hoja,
BAVICHA na Vita ya Urais ndio Wabaya wa Kafulila,
Kafulila endelea kutumia mawe
Lazima atoke Huyu ni mtu serious Sana,
Huwezi kuvumilia upigaji ule,
Alifika Simiyu ndani ya wiki1 akakuta kampuni ya kimataifa ya CHICCO imejenga Barabara ya 75bn lkn chini ya kiwango na inataka kukabidhi , akairudisha ianze upya. Mmesikia wapi kitu kama tena? Na kabla yake kulikuwa na RC😎
Tatizo lako unamtazama Kafulila kama mwanachama wa CHADEMA,Mimi naeleza ukweli sio unavyotaka wewe. Uchawa utatumaliza Kama alivyosema jenerali ulimwengu. Akina Nyerere na Sykes wangekuwa chawa Kama kafulila kuisifu status tungekuwa bado Chini ya malikia.
Chawa namba moja ni Mkt wako anayejipendekeza kila siku Ikulu,UCHAWA UCHAWA UCHAWA TENAAAA
Wajenge kwanza OfisiTatizo lako unamtazama Kafulila kama mwanachama wa CHADEMA,
Kabisa Mkuu kama ally Happy.Ajiajiri
Ungesema huo mfumo wa elimu ni upi,ukoje,na wasomi watasoma nini watajiajiri vipi!!===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,
Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,
Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,
#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
Unamsamehe vipi chizi?Ila kwenye hili la Elimu Tanzania tuko nyuma Sana,
Rais Samia 2025 Mimi nitamchagua kiroho Safi kabisa yaani
Nilifanya makosa 2020 nilichagua watu ata Ofisi tu hawana na wanamika 32.
Mtanisamehe sitarudia tena,
Kafulila anabiashara kubwa Sana ya hardwareKabisa Mkuu kama ally Happy.
Hivi mr. white hair yuko wapi na anafanya nini sa hi1. Elimu,
2. Elimu
3. Elimu
Sekta ya elimu imeboreshwa sana chini ya Rais Samia Suluhu===