Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru

===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,

Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,

Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,

Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,

#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
UCHAWA UCHAWA UCHAWA TENAAAA
 
Rais anafanya vizuri Sana lazima tukubali huu ndio Ukweli,

Asante Kafulila kwa Taarifa
 
Huu ni mwendelezo wa Kafulila kuendelea kusaka uteuzi upya baada ya kutimuliwa kule Simiyu kwa upigaji na ufitini. Uchawa umemharibu mnoo Kafulila.

Pole sana Kafulila.
CCM ni mafisi hawapendi kujichanganya na ngedere.
Kuna shida gani akisaka uteuzi kwa kutema madini? Baki hivyo hivyo na undezi wako
 
Kafulila amechoka kuwa kuwa baby sitter anatamani arudishwe tena kwenye shamba la bibi ale ndizi mbivu na mbichi.
 
Ila kwenye hili la Elimu Tanzania tuko nyuma Sana,

Rais Samia 2025 Mimi nitamchagua kiroho Safi kabisa yaani

Nilifanya makosa 2020 nilichagua watu ata Ofisi tu hawana na wanamika 32.

Mtanisamehe sitarudia tena,
Wengi tuu tutamchagua ,achana na Hawa wapuuzi wa jf walalamishi wasii na suluhu..

Sio tuu kusuka upya mfumo wa elimu Bali anaipa elimu msukumo mkubwa..

Amefuta ada ya form six,

Ametoa mikopo kwa Wanafunzi wote wa chuo kikuu,

Ameanzisha mfumo wa kusaidia watoto maskini Samia Scholarship,

Anasomesha watoto wote waliofanya vizuri kwenye sayansi bureee,

Anajenga Vera wilaya 100 za Tanzania,

Anajenga chuo maheusi Cha Tehama,

Anajenga Shule za Sekondari mpya zaidi ya 1000,

Anajenga Shule za Wasichana za bweni mikoa 26,

Alishamalizana na watoto kurundikana Madarakani kila mwaka anajenga vyumba vya madarasa zaidi ya 12,000 Sekondari na Msingi,

Anapanua elimu ya Juu kwa kuanzisha kampasi mpya kwenye kila Mkoa ambao hauna chuo Kikuu,

Ameongeza bajeti za Utafiti,mafunzo nk..

Juzi kule Kagera alisema Serikali itatoa ruzuku ya Bil.1 ili Wanafunzi wa Veta wasome kwa ada nafuu,

Amefuta retention fee kwenye Bodi ya Mikopo,

Na Mwisho ameanza kuwapa mikopo wanafunzi wa vguo vya Kati ambao hakuna mtu alikuwa na habari nao..

Na Mambo mengi mengi ambayo ndani ya mda mfupi amefanya sio tuu kwenye elimu Ni sekta zote..
 
Hello Mr Kafulila, it doesn't work that way!

Come up with real idea of handling the stubborn problems facing our country. You are economist, if I am not mistaken. As a country, we are facing the economic problems, which need you great thinking to be solved.

By " Praising ", you are forcing your self into a group that doesn't have an apealing name.

I guess you have understand, my kuungaunga English. Ha ha haaaa!
 
Nyerere aliyasema hayo miaka ya 60 huko.

Ili nchi iendelee inahitaji,
Watu.
Ardhi.
Siasa safi.
Uongozi Bora.

WATU ALIKUWA AKIMAANISHA.
1. Elimu,
2. Wachapakazi.
3. MAARIFA.
4.Nguvu.
5.Nk.
 
===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,

Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,

Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,

Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,

#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
Hongera Sana Mama Samia Suluhu Hassan
 
Tangu ahame CHADEMA kisa kasifiwa na Magufuli ndipo nilijua kafulila ni msaka fursa. Sasa aneshuka kuwa mpiga chorus wa mama. Njaa mbaya Sana. Hata mimi nimemzidi kafulila kwa msimamo maana toka mwaka 2000 nipo CHADEMA mpaka leo.
 
Ila kwenye hili la Elimu Tanzania tuko nyuma Sana,

Rais Samia 2025 Mimi nitamchagua kiroho Safi kabisa yaani

Nilifanya makosa 2020 nilichagua watu ata Ofisi tu hawana na wanamika 32.

Mtanisamehe sitarudia tena,

Punguza uongo.
 
Tangu ahame CHADEMA kisa kasifiwa na Magufuli ndipo nilijua kafulila ni msaka fursa. Sasa aneshuka kuwa mpiga chorus wa mama. Njaa mbaya Sana. Hata mimi nimemzidi kafulila kwa msimamo maana toka mwaka 2000 nipo CHADEMA mpaka leo.
BAVICHA Jengeni kwanza Ofisi ili mpate uhalali wa kukosoa Wengine
 
Jengeni kwanza Ofisi ndio mpate Moral Audacity ya kunyooshea vidole wengine

Jiangalie. Nyie mmeshindwa kuleta maji na umeme kwa miaka 62. Watu wananuka vikwapa kwenye mwendo Kasi. Tozo juu na mfumuko wa Bei juu. Unalinganisha chama Cha siasa na serikali?.
 
Back
Top Bottom