ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,299
- 832
2025 nitamchagua tuMama jembe Sana,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2025 nitamchagua tuMama jembe Sana,
UCHAWA UCHAWA UCHAWA TENAAAA===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,
Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,
Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,
#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
Rais anafanya vizuri Sana lazima tukubali huu ndio Ukweli,===

Uchawa Uko hata huko kwako kwani ndio staili ya maisha ya Binadamu,UCHAWA UCHAWA UCHAWA TENAAAA
Kuna shida gani akisaka uteuzi kwa kutema madini? Baki hivyo hivyo na undezi wakoHuu ni mwendelezo wa Kafulila kuendelea kusaka uteuzi upya baada ya kutimuliwa kule Simiyu kwa upigaji na ufitini. Uchawa umemharibu mnoo Kafulila.
Pole sana Kafulila.
CCM ni mafisi hawapendi kujichanganya na ngedere.
Hata Kama atateuliwa Wewe wivu wa nini Sasa?!Kafulila amechoka kuwa kuwa baby sitter anatamani arudishwe tena kwenye shamba la bibi ale ndizi mbivu na mbichi.
Wengi tuu tutamchagua ,achana na Hawa wapuuzi wa jf walalamishi wasii na suluhu..Ila kwenye hili la Elimu Tanzania tuko nyuma Sana,
Rais Samia 2025 Mimi nitamchagua kiroho Safi kabisa yaani
Nilifanya makosa 2020 nilichagua watu ata Ofisi tu hawana na wanamika 32.
Mtanisamehe sitarudia tena,
Kafulila alikuwa nanaandika hizi Makala toka akiwa RAS acha nongwa zisizo na maana.Kafulila amegundua kisifu na kuabudu baada ya kutemwa. Atafute mradi wa kujikimu, afanye kazi na kulipa kodi.
Kuna maisha baada ya siasa.
Chadomo mtaongea yote naona mnajitahidi Sana kuugulia 😂😂anajitahid kudhihirisha utumbili wake ili apate japo kauteuz tena
Kafulila punguza jazba watu watakushtukia hapa.Hata Kama atateuliwa Wewe wivu wa nini Sasa?!
Hongera Sana Mama Samia Suluhu Hassan===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,
Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,
Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,
#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
Constructive submissionNyerere aliyasema hayo miaka ya 60 huko.
Ili nchi iendelee inahitaji,
Watu.
Ardhi.
Siasa safi.
Uongozi Bora.
WATU ALIKUWA AKIMAANISHA.
1. Elimu,
2. Wachapakazi.
3. MAARIFA.
4.Nguvu.
5.Nk.
Jengeni kwanza Ofisi ndio mpate Moral Audacity ya kunyooshea vidole wengineKafulila punguza jazba watu watakushtukia hapa.
===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,
Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,
Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,
#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
Ila kwenye hili la Elimu Tanzania tuko nyuma Sana,
Rais Samia 2025 Mimi nitamchagua kiroho Safi kabisa yaani
Nilifanya makosa 2020 nilichagua watu ata Ofisi tu hawana na wanamika 32.
Mtanisamehe sitarudia tena,
BAVICHA Jengeni kwanza Ofisi ili mpate uhalali wa kukosoa WengineTangu ahame CHADEMA kisa kasifiwa na Magufuli ndipo nilijua kafulila ni msaka fursa. Sasa aneshuka kuwa mpiga chorus wa mama. Njaa mbaya Sana. Hata mimi nimemzidi kafulila kwa msimamo maana toka mwaka 2000 nipo CHADEMA mpaka leo.
Jengeni kwanza Ofisi ndio mpate Moral Audacity ya kunyooshea vidole wengine