CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Kazi iendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viva Samia Viva===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,
Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,
Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,
#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
Comment zako Ndio zinajielezaWapi nimeonyesha kumchukia?
Comment zako Ndio zinajieleza
Kada maarufu wa CHADEMA, Unapambana sana ila hiko Chama hakitaamka tenaUnaweza ukaweka post namba ya hiyo comment?
Kada maarufu wa CHADEMA, Unapambana sana ila hiko Chama hakitaamka tena
Huu ni mwendelezo wa Kafulila kuendelea kusaka uteuzi upya baada ya kutimuliwa kule Simiyu kwa upigaji na ufitini. Uchawa umemharibu mnoo Kafulila.
Pole sana Kafulila. CCM ni mafisi hawapendi kujichanganya na ngedere.
Njoo CCM brother tutafute maisha bora ya Watanzania wetuKitaamkaje wakati ili chama kwa sasa kiwe na nguvu ni lazima kipate mbeleko ya vyombo vya dola?
===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,
Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,
Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,
#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
Kafulila ni miongoni mwavijana smart sana walioko ndani ya CCM, BAVICHA wanamchukia yeye badala ya hoja zakeexpand...
Daaah CHADEMAHataki mumuelewe, yeye anataka cheo.
Kafulila ni MZALENDO wa kweli Huyu kijana===