Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru

===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,

Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,

Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,

Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,

#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
Viva Samia Viva
 
Hii elimu ya shule hadi wkend, hadi likizo mda wote watoto ni shule tu, hii nchi tumekuwa kama mbuzi aliyekata kamba. Yaani kila kitu kiko auto pilot.

Haka kajamaa nilikuwa nakaelewa kakiwa kule upande wa pili ila tokea aje huku kwetu naona naye anaupiga mwingi kila wakati anachomesha. Nahisi mshipa wa akili ulifyatuliwa tayari
 
Kafulila ndio tumbili ? Au tumbili Ni yule mwenzake wa huko huko Kg?
 
RC Chalamila hakuwahi kujitokeza kumpamba "Mama" ila alionwa akaula tena.

Vijana kuna la kujifunza hapa,namuona hata Hapi naye anafanya hikihiki cha Kafulila.
 
Huu ni mwendelezo wa Kafulila kuendelea kusaka uteuzi upya baada ya kutimuliwa kule Simiyu kwa upigaji na ufitini. Uchawa umemharibu mnoo Kafulila.

Pole sana Kafulila. CCM ni mafisi hawapendi kujichanganya na ngedere.

Jielekezeni kwenye hoja zake, na si kujielekeza kwake yeye binafsi. Mpingeni kwa hoja na si kwa viroja.

CC: Daudi Mchambuzi
Erythrocyte
 
===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,

Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,

Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,

Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,

#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
expand...
Kafulila ni miongoni mwavijana smart sana walioko ndani ya CCM, BAVICHA wanamchukia yeye badala ya hoja zake
 
===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,

Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,

Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,

Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,

#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
Kafulila ni MZALENDO wa kweli Huyu kijana
 
Back
Top Bottom