Mbowe huyu mfanyabiashara wa Siasa kwenye Chama chake cha CDMMzee Yuko makini sana kama Bwana Mbowe
Balance diet hasanl mashuleni kama sijakoseaKwamba Ubwabwa dawa au Kinga?
Au sera ni balance diet?
Si Mama yenu wa CCM aliifuta TFNC, Sijui alishauriwa na Nani Huko. Juzi Kati nikaisikia tenaView attachment 3179311
View attachment 3179318
===
Hatimaye sera za mzee Hashimu Rungwe Shipunda wa Chama Cha Umma (CHAUMA) zaanza kupata utetezi wa kisayansi polepole baada ya miaka kumi kupita ( 10 ) leo tutamuangazia Mkurugenzi wa kituo Ubia nchini PPPC Bw David KAFULILA katika moja ya tweete zake huko X.
Kafulila anasema kama Taifa katika mwelekeo wetu mpya wa miaka 25 ijayo ni vema tukaangalia uwezekano wa kuchukua sera nzuri ya Nutritional basics maarufu kama Sera ya UBWABWA mashuleni iliyoasisiwa na mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 toka Chama Cha UMMA Wakili Msomi Hashimu Rungwe Shifunda.
Kafulila anaonesha tatizo la Utapiamlo duniani na Tanzània ikiwemo ni kubwa pamoja na yote linaigharimu dunia mabilioni ya Shilingi katika kupambana nalo akitolea mfano kuwa mpaka mwaka 2025 zaidi ya $18bn ambazo ni zaidi ya TZS 45 Trilioni zitatumika kupambana na Utapiamlo duniani na Tanzania ikiwemo.
Bila kujali hoja hii imetoka Upinzani au chama rafiki bado ni hoja mtambuka kwa Ustawi wa Tanzania na Watanzania wa leo na kesho kwenye hili nampa Kafulila kongole nyingi kwa wivu wake mkubwa juu ya Maisha ya Watanzania hasa watoto wanaotoka kwenye familia duni.
View attachment 3179316
AmeshairudishaSi Mama yenu wa CCM aliifuta TFNC, Sijui alishauriwa na Nani Huko. Juzi Kati nikaisikia tena
Asante SamiaView attachment 3179311
View attachment 3179318
===
Hatimaye sera za mzee Hashimu Rungwe Shipunda wa Chama Cha Umma (CHAUMA) zaanza kupata utetezi wa kisayansi polepole baada ya miaka kumi kupita ( 10 ) leo tutamuangazia Mkurugenzi wa kituo Ubia nchini PPPC Bw David KAFULILA katika moja ya tweete zake huko X.
Kafulila anasema kama Taifa katika mwelekeo wetu mpya wa miaka 25 ijayo ni vema tukaangalia uwezekano wa kuchukua sera nzuri ya Nutritional basics maarufu kama Sera ya UBWABWA mashuleni iliyoasisiwa na mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 toka Chama Cha UMMA Wakili Msomi Hashimu Rungwe Shifunda.
Kafulila anaonesha tatizo la Utapiamlo duniani na Tanzània ikiwemo ni kubwa pamoja na yote linaigharimu dunia mabilioni ya Shilingi katika kupambana nalo akitolea mfano kuwa mpaka mwaka 2025 zaidi ya $18bn ambazo ni zaidi ya TZS 45 Trilioni zitatumika kupambana na Utapiamlo duniani na Tanzania ikiwemo.
Bila kujali hoja hii imetoka Upinzani au chama rafiki bado ni hoja mtambuka kwa Ustawi wa Tanzania na Watanzania wa leo na kesho kwenye hili nampa Kafulila kongole nyingi kwa wivu wake mkubwa juu ya Maisha ya Watanzania hasa watoto wanaotoka kwenye familia duni.
View attachment 3179316
Nimekuelewa ubwabwa sio lisheSo msichanganye sera ya Lishe na chumvi ya Kafulira kwenye Ubwabwa wa Chauma
Hujaelewa mkuu. Mmi nadhani alilengo milo lishe sio ubwabwa tu ubwabwa upo kama kibwagizo tuKwamba Ubwabwa ndio nutrition ? Na Sera ya Ubwabwa ndio ipi ? Yaani hii nchi ina vituko sana na maigizo ndio mpango mzima..., yaani kila siku wanaangalia script mpya...; Kwamba chakula Nutritional (Balanced Diet) ni kuongeza Wanga (Ubwabwa) ? Au kwa ufupi Sera hii Inasemaje ?
Yaani katika nchi ambayo ina kila kitu yet kuna watu hawana hata milo miwili let alone mitatu (kwa kukosa ujira) mnaanza kuleta story za Ubwabwa badala ya kuhakikisha watu wana disposable income ya kuweza kujinunulia Samaki ?
Ustawi wa Jamii; A Penny Saved is a Penny Earned; Serikali inaweza Kumpunguzia Mzigo wa Matumizi Mwananchi hivyo Kumwongezea Kipato cha Kutumia
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...www.jamiiforums.com
Hilo lengo wala sio jipya lipo tangia tumepata Uhuru huenda hata kabla ndio maana kulikuwa na nyimbo za kula Chakula Bora, Mboga Samaki na Maziwa...Hujaelewa mkuu. Mmi nadhani alilengo milo lishe sio ubwabwa tu ubwabwa upo kama kibwagizo tu
Balance diet nadhaniKwamba Ubwabwa dawa au Kinga?
Au sera ni balance diet?
Merry ChristmasView attachment 3179311
View attachment 3179318
===
Hatimaye sera za mzee Hashimu Rungwe Shipunda wa Chama Cha Umma (CHAUMA) zaanza kupata utetezi wa kisayansi polepole baada ya miaka kumi kupita ( 10 ) leo tutamuangazia Mkurugenzi wa kituo Ubia nchini PPPC Bw David KAFULILA katika moja ya tweete zake huko X.
Kafulila anasema kama Taifa katika mwelekeo wetu mpya wa miaka 25 ijayo ni vema tukaangalia uwezekano wa kuchukua sera nzuri ya Nutritional basics maarufu kama Sera ya UBWABWA mashuleni iliyoasisiwa na mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 toka Chama Cha UMMA Wakili Msomi Hashimu Rungwe Shifunda.
Kafulila anaonesha tatizo la Utapiamlo duniani na Tanzània ikiwemo ni kubwa pamoja na yote linaigharimu dunia mabilioni ya Shilingi katika kupambana nalo akitolea mfano kuwa mpaka mwaka 2025 zaidi ya $18bn ambazo ni zaidi ya TZS 45 Trilioni zitatumika kupambana na Utapiamlo duniani na Tanzania ikiwemo.
Bila kujali hoja hii imetoka Upinzani au chama rafiki bado ni hoja mtambuka kwa Ustawi wa Tanzania na Watanzania wa leo na kesho kwenye hili nampa Kafulila kongole nyingi kwa wivu wake mkubwa juu ya Maisha ya Watanzania hasa watoto wanaotoka kwenye familia duni.
View attachment 3179316
Hii ni kweli itasaidia sanaView attachment 3179311

Sahihi kabisa ni vema kama itawekwa kama Dira na iweke pia kwenye Sheria zetuHii ni kweli itasaidia sana
Nakwako pia mkuu25/12/2024
SawaSahihi kabisa ni vema kama itawekwa kama Dira na iweke pia kwenye Sheria zetu
Safi sana David KafulilaView attachment 3179311
View attachment 3179318
===
Hatimaye sera za mzee Hashimu Rungwe Shipunda wa Chama Cha Umma (CHAUMA) zaanza kupata utetezi wa kisayansi polepole baada ya miaka kumi kupita ( 10 ) leo tutamuangazia Mkurugenzi wa kituo Ubia nchini PPPC Bw David KAFULILA katika moja ya tweete zake huko X.
Kafulila anasema kama Taifa katika mwelekeo wetu mpya wa miaka 25 ijayo ni vema tukaangalia uwezekano wa kuchukua sera nzuri ya Nutritional basics maarufu kama Sera ya UBWABWA mashuleni iliyoasisiwa na mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 toka Chama Cha UMMA Wakili Msomi Hashimu Rungwe Shifunda.
Kafulila anaonesha tatizo la Utapiamlo duniani na Tanzània ikiwemo ni kubwa pamoja na yote linaigharimu dunia mabilioni ya Shilingi katika kupambana nalo akitolea mfano kuwa mpaka mwaka 2025 zaidi ya $18bn ambazo ni zaidi ya TZS 45 Trilioni zitatumika kupambana na Utapiamlo duniani na Tanzania ikiwemo.
Bila kujali hoja hii imetoka Upinzani au chama rafiki bado ni hoja mtambuka kwa Ustawi wa Tanzania na Watanzania wa leo na kesho kwenye hili nampa Kafulila kongole nyingi kwa wivu wake mkubwa juu ya Maisha ya Watanzania hasa watoto wanaotoka kwenye familia duni.
View attachment 3179316
Nakubaliana na wewe kabisa.Apewe credits zake Mzee Hashimu Rungwe Kwa kuweza kufikiri sawasawa kuhusu umuhimu wa lishe kuliko Viongozi waliokuwa madarakani