Kafulila: Sera ya UBWABWA ya CHAUMA na Mzee Hashimu Rungwe iingizwe kwenye Dira yetu ya Taifa ya Maendeleo ya 2025-2050 na sababu ni hizi…

View attachment 3179311
View attachment 3179318
===
Hatimaye sera za mzee Hashimu Rungwe Shipunda wa Chama Cha Umma (CHAUMA) zaanza kupata utetezi wa kisayansi polepole baada ya miaka kumi kupita ( 10 ) leo tutamuangazia Mkurugenzi wa kituo Ubia nchini PPPC Bw David KAFULILA katika moja ya tweete zake huko X.

Kafulila anasema kama Taifa katika mwelekeo wetu mpya wa miaka 25 ijayo ni vema tukaangalia uwezekano wa kuchukua sera nzuri ya Nutritional basics maarufu kama Sera ya UBWABWA mashuleni iliyoasisiwa na mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 toka Chama Cha UMMA Wakili Msomi Hashimu Rungwe Shifunda.

Kafulila anaonesha tatizo la Utapiamlo duniani na Tanzània ikiwemo ni kubwa pamoja na yote linaigharimu dunia mabilioni ya Shilingi katika kupambana nalo akitolea mfano kuwa mpaka mwaka 2025 zaidi ya $18bn ambazo ni zaidi ya TZS 45 Trilioni zitatumika kupambana na Utapiamlo duniani na Tanzania ikiwemo.

Bila kujali hoja hii imetoka Upinzani au chama rafiki bado ni hoja mtambuka kwa Ustawi wa Tanzania na Watanzania wa leo na kesho kwenye hili nampa Kafulila kongole nyingi kwa wivu wake mkubwa juu ya Maisha ya Watanzania hasa watoto wanaotoka kwenye familia duni.

View attachment 3179316
Si Mama yenu wa CCM aliifuta TFNC, Sijui alishauriwa na Nani Huko. Juzi Kati nikaisikia tena
 
Asante Samia
 
Kwamba Ubwabwa ndio nutrition ? Na Sera ya Ubwabwa ndio ipi ? Yaani hii nchi ina vituko sana na maigizo ndio mpango mzima..., yaani kila siku wanaangalia script mpya...; Kwamba chakula Nutritional (Balanced Diet) ni kuongeza Wanga (Ubwabwa) ? Au kwa ufupi Sera hii Inasemaje ?

Yaani katika nchi ambayo ina kila kitu yet kuna watu hawana hata milo miwili let alone mitatu (kwa kukosa ujira) mnaanza kuleta story za Ubwabwa badala ya kuhakikisha watu wana disposable income ya kuweza kujinunulia Samaki ?

Hujaelewa mkuu. Mmi nadhani alilengo milo lishe sio ubwabwa tu ubwabwa upo kama kibwagizo tu
 
Hilo lengo wala sio jipya lipo tangia tumepata Uhuru huenda hata kabla ndio maana kulikuwa na nyimbo za kula Chakula Bora, Mboga Samaki na Maziwa...

Kwahio badala ya kuendeleza muendelezo wa propaganda na vibwagizo visivyo tija wafanye kazi zao kuhakikisha watu wanapata ujira waweze kujinunulia hio lishe na sio kuwakamua kwa matozo ili waongelee kuwarudishia Makombo

View attachment 3179311
View attachment 3179318
===
Hatimaye sera za mzee Hashimu Rungwe Shipunda wa Chama Cha Umma (CHAUMA) zaanza kupata utetezi wa kisayansi polepole baada ya miaka kumi kupita ( 10 ) leo tutamuangazia Mkurugenzi wa kituo Ubia nchini PPPC Bw David KAFULILA katika moja ya tweete zake huko X.

Kafulila anasema kama Taifa katika mwelekeo wetu mpya wa miaka 25 ijayo ni vema tukaangalia uwezekano wa kuchukua sera nzuri ya Nutritional basics maarufu kama Sera ya UBWABWA mashuleni iliyoasisiwa na mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 toka Chama Cha UMMA Wakili Msomi Hashimu Rungwe Shifunda.

Kafulila anaonesha tatizo la Utapiamlo duniani na Tanzània ikiwemo ni kubwa pamoja na yote linaigharimu dunia mabilioni ya Shilingi katika kupambana nalo akitolea mfano kuwa mpaka mwaka 2025 zaidi ya $18bn ambazo ni zaidi ya TZS 45 Trilioni zitatumika kupambana na Utapiamlo duniani na Tanzania ikiwemo.

Bila kujali hoja hii imetoka Upinzani au chama rafiki bado ni hoja mtambuka kwa Ustawi wa Tanzania na Watanzania wa leo na kesho kwenye hili nampa Kafulila kongole nyingi kwa wivu wake mkubwa juu ya Maisha ya Watanzania hasa watoto wanaotoka kwenye familia duni.

View attachment 3179316
Merry Christmas
 
Kuliko niipe Chadema kura yangu 2025, nitampa HASHIM RUNGWE 2025!
 
Hii ni kweli itasaidia sana
 
Safi sana David Kafulila
 
Back
Top Bottom