Kafulila: Sera ya UBWABWA ya CHAUMA na Mzee Hashimu Rungwe iingizwe kwenye Dira yetu ya Taifa ya Maendeleo ya 2025-2050 na sababu ni hizi…



Hii inavutia sana
 
Mkuu ungetoa shule kidogo
 
I respect you brother ila tatizo lako gubu sana
 
Apewe credits zake Mzee Hashimu Rungwe Kwa kuweza kufikiri sawasawa kuhusu umuhimu wa lishe kuliko Viongozi waliokuwa madarakani
Mwanzoni nilijua Mzee yule ni muigizaji tu
 
Nimecheka hii kwa sauti 😂😂
Hivi hii kumbe ni serious
 
Mpaka njaa inauma ghafla
 
Ubwabwa mwingi Nyama nyingi lakini mboga za majani hakuna !!!😳
Tumuulize Prof Janabi je hiyo ni sawa ??!
 
Watoto wa zamani walikuwa wakipewa vyakula huko mashuleni ndio maana wakaweza kuwa na Akili mingi na ujasiri wa kuweza kudai Uhuru na kisha kuziongoza Nchi zao baada ya kupata Uhuru. !

Hivi sasa je ???! Vijana wapoje ??!
Wazee ndio wanatawala Nchi nyingi Afrika !
Vijana wengi wapo kwenye Ubaya Ubwela na kutumwa kwenda Kuwadhalilisha wale wanaowatetea 😳🙄!

Salaaleee kweli ukistaajabu ya Mzee Spunda utayaona ya malnutrition !
 
Nakuelewa vizuri
 
Hii naomba tuiingize Kwenye Ilani ya CCM
 
Ubwabwa uliwe na kila MTU
 
Hili linawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…