air commander
Senior Member
- Jun 10, 2024
- 147
- 133
Hili ni jambo la msingi sana, tena lifanyike katika levels zote,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafulila nakubaliana na wewe ila haya mambo ya lishe yawekwe kwenye ngazi ya familia sio ngazi ya KitaifaView attachment 3179311
View attachment 3179318
===
Hatimaye sera za mzee Hashimu Rungwe Shipunda wa Chama Cha Umma (CHAUMA) zaanza kupata utetezi wa kisayansi polepole baada ya miaka kumi kupita ( 10 ) leo tutamuangazia Mkurugenzi wa kituo Ubia nchini PPPC Bw David KAFULILA katika moja ya tweete zake huko X.
Kafulila anasema kama Taifa katika mwelekeo wetu mpya wa miaka 25 ijayo ni vema tukaangalia uwezekano wa kuchukua sera nzuri ya Nutritional basics maarufu kama Sera ya UBWABWA mashuleni iliyoasisiwa na mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 toka Chama Cha UMMA Wakili Msomi Hashimu Rungwe Shifunda.
Kafulila anaonesha tatizo la Utapiamlo duniani na Tanzània ikiwemo ni kubwa pamoja na yote linaigharimu dunia mabilioni ya Shilingi katika kupambana nalo akitolea mfano kuwa mpaka mwaka 2025 zaidi ya $18bn ambazo ni zaidi ya TZS 45 Trilioni zitatumika kupambana na Utapiamlo duniani na Tanzania ikiwemo.
Bila kujali hoja hii imetoka Upinzani au chama rafiki bado ni hoja mtambuka kwa Ustawi wa Tanzania na Watanzania wa leo na kesho kwenye hili nampa Kafulila kongole nyingi kwa wivu wake mkubwa juu ya Maisha ya Watanzania hasa watoto wanaotoka kwenye familia duni.
View attachment 3179316
Kumbe Mzee Rungwe alikuwa anaanisha?View attachment 3179311

Rungwe ni msomi mkubwa sana huyo bwanaKumbe Mzee Rungwe alikuwa anaanisha?
Ila Utapiamlo Tanzania sio tatizo kubwa
Mimi kabla nilimchukua kama comedianHashimu apewe maua yake huyu Mzee
Mbona hii ni sera kuu ya serikali au wewe hujui?Apewe credits zake Mzee Hashimu Rungwe Kwa kuweza kufikiri sawasawa kuhusu umuhimu wa lishe kuliko Viongozi waliokuwa madarakani
Imeanza lini Mkuu?Mbona hii ni sera kuu ya serikali au wewe hujui?
Kila mwaka Kuna maadhimisho ya Lishe na kupiga vita utapiamlo Nchini .Imeanza lini Mkuu?
Yes nakumbuka huu utaratibu ulifutwaKila mwaka Kuna maadhimisho ya Lishe na kupiga vita utapiamlo Nchini .
Halmashauri zote hii ni ajenda ya kudumu kama Ukimwi.
Mwisho wakati Chauma Wanaleta mambo ya Ubwabwa haikuwakwa mantiki ya Lishe Bali chakula Kwa Watoto waoashinda kutwa nzima bila kula akisema wao wakati wanasoma walikula shule na ni kweli hata Mimi tumekula shule na uji Juu ila miaka ya katikati hapo huo utaratibu ulifutwa.
So msichanganye sera ya Lishe na chumvi ya Kafulira kwenye Ubwabwa wa ChaumaYes nakumbuka huu utaratibu ulifutwa
Kwanini hiyo sera ya Lishe imewekwa kwenye Dira ya Taifa?So msichanganye sera ya Lishe na chumvi ya Kafulira kwenye Ubwabwa wa Chauma
Ipo , sababu ni kwamba Kuna tatizo kubwa la utapiamlo hapa TanzaniaKwanini hiyo sera ya Lishe imewekwa kwenye Dira ya Taifa?
No, haipo ndio maana Kafulila anaomba iwepo Mimi nimeisoma yoteIpo , sababu ni kwamba Kuna tatizo kubwa la utapiamlo hapa Tanzania
Ubwabwa huu unatia njaa aiseeView attachment 3179311
View attachment 3179318
===
Hatimaye sera za mzee Hashimu Rungwe Shipunda wa Chama Cha Umma (CHAUMA) zaanza kupata utetezi wa kisayansi polepole baada ya miaka kumi kupita ( 10 ) leo tutamuangazia Mkurugenzi wa kituo Ubia nchini PPPC Bw David KAFULILA katika moja ya tweete zake huko X.
Kafulila anasema kama Taifa katika mwelekeo wetu mpya wa miaka 25 ijayo ni vema tukaangalia uwezekano wa kuchukua sera nzuri ya Nutritional basics maarufu kama Sera ya UBWABWA mashuleni iliyoasisiwa na mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 toka Chama Cha UMMA Wakili Msomi Hashimu Rungwe Shifunda.
Kafulila anaonesha tatizo la Utapiamlo duniani na Tanzània ikiwemo ni kubwa pamoja na yote linaigharimu dunia mabilioni ya Shilingi katika kupambana nalo akitolea mfano kuwa mpaka mwaka 2025 zaidi ya $18bn ambazo ni zaidi ya TZS 45 Trilioni zitatumika kupambana na Utapiamlo duniani na Tanzania ikiwemo.
Bila kujali hoja hii imetoka Upinzani au chama rafiki bado ni hoja mtambuka kwa Ustawi wa Tanzania na Watanzania wa leo na kesho kwenye hili nampa Kafulila kongole nyingi kwa wivu wake mkubwa juu ya Maisha ya Watanzania hasa watoto wanaotoka kwenye familia duni.
View attachment 3179316
Ila Kafulila huwa akili kubwa sana,View attachment 3179311

Huu wali ukimpa mtoto atasoma kweli au ndio kusinziaView attachment 3179311

Nadhani Kafulila alimaanisha uji shuleniHuu wali ukimpa mtoto atasoma kweli au ndio kusinzia
Mzee Yuko makini sana kama Bwana MboweApewe credits zake Mzee Hashimu Rungwe Kwa kuweza kufikiri sawasawa kuhusu umuhimu wa lishe kuliko Viongozi waliokuwa madarakani