Kafulila: Serikali inakopa T-bills kwa 5% wakati Msumbiji 17%, Kenya 16%, Malawi 16%, Zambia 10%, Namibia 9%, Uganda 9%, SA 8%. Uelekeo wetu ni sahihi

Nimekudharau sana unaposema Mh Kafulila hawezi kufanya uchambuzi wa masuala ya kiuchumi na kwamba anakariri habari za kwenye magazeti. Kila mtanzania anafahamu uwezo mkubwa sana na uelewa wa masuala ya uchumi. Kila mtu ameona kwa macho na kusikia kwa masikio yake namna Mheshimiwa Kafulila anavyochambua na kuelezea kwa undani na kina masuala mbalimbali ya uchumi kwa takwimu na ushahidi wa kutosha . Mheshimiwa Kafulila ni mtu mtulivu , mnyenyekevu na mwenye uwezo wa kujenga hoja kwa data.
 
Wewe una matatizo binafsi, sentesi yako moja tu inanionyesha matatizo mengi uliyo nayo...na hayo ndio yanakufanya uwe hivyo ulivyo, onyesha makala 3 tu za uchumi au fedha alizoandika kafulila, kuna taaluma zingine haitoshi kupiga vuvuzela kama kweli unafahamu a,b,c, d .. hasa masuala ya fedha na uchumi, na kwa hali ilivyo nchini kwetu utashawishika kuandika hata makala ya page 1 km njia ya kutoa mchango kwa serikali iliyokupa kazi..wajinga ndio wanahadaiwa na nukuu za mitandaoni anazokariri kafulila!
 
Uchumi ni kanuni ndugu yangu na siyo kusema sijuwi ana kariri. Ndio maana nimesema kwa akili yako hiyo uliyonayo huwezi hata kidogo kulinganisha uwezo wako na ule alionao Mheshimiwa Kafulila.uwezo ambao umewafumbua wengi sana na kuwapa Elimu kubwa sana
 
source ya hii ngonjera ni wapi
 
Jambo dogo ambalo mwanafunzi mwaka wa kwanza chuo kikuu tena anayesoma micro au macro km minor course anafahamu matokeo ya tofauti za inflation na exchange rate kwenye uchumi..huyo mjinga mwenzio analeta hoja ya kulinganisha vitu visivyolingana, mtu mwenye akili nyepesi ana tabia ya kurukia rukia mambo hata asiyoyajua..mambo ya uchumi au fedha si kupiga domo..andika tuone!
 
source ya hii ngonjera ni wapi
Umeharibu ulipoita ngonjera kwa hoja nzito kama hizo za Mheshimiwa Kafulila,Kiongozi ambaye amefanya kazi kubwa sana ya kutoa Elimu kwa wananchi. Hakuna mwenye uwezo wa kupangua hoja za Mheshimiwa Kafulila kwa hoja .maana yeye huongea kwa takwimu na ushahidi
 
Wewe ndio mpiga domo.lakini Mheshimiwa Kafulila amenyooka kama rula na hoja zake zenye takwimu na ushahidi.sasa wewe unafanya kazi ya kupiga domo domo na porojo tu.
 
Wewe ndio mpiga domo.lakini Mheshimiwa Kafulila amenyooka kama rula na hoja zake zenye takwimu na ushahidi.sasa wewe unafanya kazi ya kupiga domo domo na porojo tu.
Hauko sawa kichwani..mlambe kafulila hata makalio yake ukiweza, you r exempted!
 
Tunakopa hata kwa makandarasi wajenzi wa barabara, tinalipa pesa nyingi kwa kushindwa kuwalipa kwa wakati. Hii no aibu mno
 
Tunakopa hata kwa makandarasi wajenzi wa barabara, tinalipa pesa nyingi kwa kushindwa kuwalipa kwa wakati. Hii no aibu mno
Serikali imelipa madeni yote ya wakandarasi ambayo yalikuwa yamehakikiwa.kwa sasa mambo yanakwenda vizuri sana.
 
hoja nzuri ila sio sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…