Kafulila: Serikali inakopa T-bills kwa 5% wakati Msumbiji 17%, Kenya 16%, Malawi 16%, Zambia 10%, Namibia 9%, Uganda 9%, SA 8%. Uelekeo wetu ni sahihi

Kafulila: Serikali inakopa T-bills kwa 5% wakati Msumbiji 17%, Kenya 16%, Malawi 16%, Zambia 10%, Namibia 9%, Uganda 9%, SA 8%. Uelekeo wetu ni sahihi

Sio mbaya
Nimeona.
unachokisema wewe sio tafsiri ya kiuchumi inayotokana na hizo bills.hapo juu nimekupa sababu kwa nini Serikali ina offer hizo bills na bonds,but interest rates zake zinaamuliwa kwa njia ya mnada.
Hivyo basi ukiona matokeo baada ya mnada rates zipo chini maana yake demand ya investors imekuwa kubwa hadi imeshusha hizo rates na rates zikiwa kubwa maana investors wanaohitaji kuwekeza kwenye hizo bills wamekuwa wachache.

Mazingira ya biashara/uwekezaji ndani ya nchi ni determinant factor,ukiona rates zipo chini ujue demand ilikuwa kubwa na tafsiri yake watu wanaona ni ahueni kuweka pesa Bank kwa riba hiyo ndogo kuliko kuipoteza kwa kwenye biashara na kinyume chake.

Kwa kuhitimisha ni kuwa hiyo riba maana yake nchi kiuchumi tupo hovyo compare na hizo nchi ulizo orodhesha hapo-mfano hapo Kenya ametuzidi zaidi ya mara 3.
Kwa maelezo haya unamaanisha Mh Kafulila anatudanganya makusudi au hajui hilo. Maana naona hiyo tweet yake imelenga wasomi zaidi sio wale masikini ambao huwa wanaanganywa vijijini wasio na ufahamu.
 
ukiona mtu anajitetea sana jua kuna mahali hapako sawa
viongozi siku hizi wanajieleza mnooo na hawaeleweki
 
View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.

Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.

Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )

View attachment 3016048
Mr Kafulilla tumesha kuambia tangu zamani shida sio kukopa bali je zikopwazo zinakwenda kufanya maendeleo yaliyokusudiwa kwa asilimia ile ile iliyokusudiwa ???? 😳😳

That’s the biggest questions
Suala la Nchi gani inakopa nyingi sisi tunakopa kidogo hiyo sio big issue 🙄😳
 
hivi ni Kwa nini tunashabikia sana kukopa? Hii sio sifa nzuri hata kidogo... sijui Ni lini tutatoka ktk hizi habari za tunakopeshwa, riba ndogo, ... ni utumwa kudaiwa, fedheha ukimuona mdaiwa wako, Na karaha Kwa mfuatiliaji wa madeni .
Ifike Mahali viongozi wetu waje Na mpango wa ni namna gani tutakuwa debt free sisi Kama Nchi , sio kila siku tunakopa, imekuwa Kausha damu inadumaza sana akili... tunaishi kama digidigi... tumechoka Na kudhihakiwa Na mikopo. Viongozi amkeni...
Mkuu mikopo kama kausha damu ni mbaya kuliko vita vya Kagera. Mamilioni ya watu wamekumbwa na umaslkini wa kupindukia unaofananishwa na Shylock wa Venice aliyetaka kulipwa ratili mmoja ya nyama karibu na moyo wako pindi unaposhindwa kulipa deni.
Hii habari ya Kafulila haina mantiki,kwani hiyo mikopo tokea uhuru tumekopa kwa viwango vya riba tofauti tofauti.
Kuna wakati ilitafutwa pesa ya kukopeshwa kwenye benki za maendeleo kama World Bank,IMF lakini ikashindikana ikabidi kwenda benki za vishoka riba 15%.
 
unachokisema wewe sio tafsiri ya kiuchumi inayotokana na hizo bills.hapo juu nimekupa sababu kwa nini Serikali ina offer hizo bills na bonds,but interest rates zake zinaamuliwa kwa njia ya mnada.
Hivyo basi ukiona matokeo baada ya mnada rates zipo chini maana yake demand ya investors imekuwa kubwa hadi imeshusha hizo rates na rates zikiwa kubwa maana investors wanaohitaji kuwekeza kwenye hizo bills wamekuwa wachache.

Mazingira ya biashara/uwekezaji ndani ya nchi ni determinant factor,ukiona rates zipo chini ujue demand ilikuwa kubwa na tafsiri yake watu wanaona ni ahueni kuweka pesa Bank kwa riba hiyo ndogo kuliko kuipoteza kwa kwenye biashara na kinyume chake.

Kwa kuhitimisha ni kuwa hiyo riba maana yake nchi kiuchumi tupo hovyo compare na hizo nchi ulizo orodhesha hapo-mfano hapo Kenya ametuzidi zaidi ya mara 3.
Sijui kama unafahamu vizuri maana ya T-BONDS,

NIMEHISI KUNA KITU HUJUI
 
Mkuu mikopo kama kausha damu ni mbaya kuliko vita vya Kagera. Mamilioni ya watu wamekumbwa na umaslkini wa kupindukia unaofananishwa na Shylock wa Venice aliyetaka kulipwa ratili mmoja ya nyama karibu na moyo wako pindi unaposhindwa kulipa deni.
Hii habari ya Kafulila haina mantiki,kwani hiyo mikopo tokea uhuru tumekopa kwa viwango vya riba tofauti tofauti.
Kuna wakati ilitafutwa pesa ya kukopeshwa kwenye benki za maendeleo kama World Bank,IMF lakini ikashindikana ikabidi kwenda benki za vishoka riba 15%.
Kausha damu ni mbaya kwelikweli
 
Ifike wakati sasa haya yafanyike;
1. Kafulila awe Msemaji wa Serikali..au
2. Kafulila hizi data awe anampatia Msemaji wa Serikali ili azitoe..
Kafulila kuendelea kutoa hizo takwimu/taarifa kila kukicha kunaifanya ofisi ya Msemaji wa Serikali kupwaya.
Kafulila yeye sianaandika tu kwenye ukurasa wake?
 
Huyu jamaa ame concentrate kwenye maelezo ya kwamba tukope na sio ni nini tufanye au tunafanya na hio mikopo..., hata kama ingekuwa tunepewa kama zawadi kama hizo zawadi zinaishia kwenye matumbo ya watu basi hio ni gharama kubwa..., sababu tunabatizwa jina la ombaomba na tutaendelea kuomba mpaka kesho sababu tunachofanya hakina tija....
Wazo zuri ila ni wazo la kijinga sana
 
Back
Top Bottom