Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
- #101
Sio mbayaNgoja niingie X, nisome kwanza fafanuzi zake. Mimi bhana huwa sipendi kushabikia mavitu unconciously.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mbayaNgoja niingie X, nisome kwanza fafanuzi zake. Mimi bhana huwa sipendi kushabikia mavitu unconciously.
Siyo kutamani kukopa kwa riba kubwa ni kuwa hata mkopeshaji anakuwa anajua uwezo wako wa kuzalisha ziada. Kwa hiyo wakati wa mazungumzo huwezi kumdanganya. Kila kitu kiko wazi. Unafikiri ni kama wewe unavyopeleka fake audited financial statements kukopa benki na ukapewa mkopo based on those fake documents. Hata JPM aliwatimua kule NBAA auditors wanaozitoa hizo fake audited financial statements.Kumbe Kuna nchi zinazotamani kukopa kwa riba kubwa?
Huyu wangemuweka mambo ya mawasiliano hapo ikulu 😄Kumbe maneno tuuuu🤣🤣
Still Tanzania is the bestSiyo kutamani kukopa kwa riba kubwa ni kuwa hata mkopeshaji anakuwa anajua uwezo wako wa kuzalisha ziada. Kwa hiyo wakati wa mazungumzo huwezi kumdanganya. Kila kitu kiko wazi. Unafikiri ni kama wewe unavyopeleka fake audited financial statements kukopa benki na ukapewa mkopo based on those fake documents. Hata JPM aliwatimua kule NBAA auditors wanaozitoa hizo fake audited financial statements.
Anafaa sana jamaaHuyu wangemuweka mambo ya mawasiliano hapo ikulu 😄
Ova
Why hapanaNamibia na south Africa hapana
Kwani mimi nimekataa nchi kukopa! Nachangia kuhusu kujisifu kukopa kwa riba ndogo. Ukweli mwingine ni kuwa lazima uwe na uwezo wa kuzalisha ziada ili uweze kurudisha mkopo.Hili Mimi sikufahamu na sijui kama ni kweli lakini mwisho unakiri alikopa ndio maana Leo ni tajiri
Wapo wengi sana tu, matajiri wengi wamejipatia nyumba na viwanja kwa mtindo huu.Hakuna Mtanzania Mtanzania anaweza akakubali hili
Based on its capacity to produce extra to meet its financial obligations.Still Tanzania is the best
Nani akuwekee kwani wewe huna akili ya ku google?Tuwekee hapa tuone.
dhamana ni nin ? je tunaweza lipa ? fungua akiliKachukue taarifa za BOT mkuu hili liko hivyo tunakopa kwa 5% toka kwa watu binafsi na mashika mbalimbali
Hoja nusuNani akuwekee kwani wewe huna akili ya ku google?
duhMkuu Dunia yote inanuka madeni lazima na sisi tukope ili kuendelea
Very funny, japo umeielezea nchi yako vizuri!!Ephen: Naomba unikopeshe laki 1, nitakurudishia wiki ijayo
Rafiki: kama unataka laki 1 riba ni 50% hivyo utanilipa 150,000
Ephen: Turahisishe mambo nipe laki 1, mimi nakupa Hati ya kiwanja cha familia yetu halafu wiki ijayo nakupa hela yako bila riba.
Rafiki: Sio kweli! Nachukua kiwanja na utanilipa riba ya 10%= 110,000
Ephen: Sawa! Asante kwa wema wako
unachokisema wewe sio tafsiri ya kiuchumi inayotokana na hizo bills.hapo juu nimekupa sababu kwa nini Serikali ina offer hizo bills na bonds,but interest rates zake zinaamuliwa kwa njia ya mnada.Nadhani hoja ni rates Wala sio matumizi, Kumbuka unapokopa kwa 17% anayeumia ni Mwananchi,
Unadhani Mwananchi anauelipa riba ya 17% maumivu yake ni sawa na yule anayelipa riba 5%?
Ifike wakati sasa haya yafanyike;View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.
Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )
View attachment 3016048
Acha kupotosha,ulichoeleza ndio kinyume chake maana inategemea kama Serikali inauza au inanunua T-Bills.unachokisema wewe sio tafsiri ya kiuchumi inayotokana na hizo bills.hapo juu nimekupa sababu kwa nini Serikali ina offer hizo bills na bonds,but interest rates zake zinaamuliwa kwa njia ya mnada.
Hivyo basi ukiona matokeo baada ya mnada rates zipo chini maana yake demand ya investors imekuwa kubwa hadi imeshusha hizo rates na rates zikiwa kubwa maana investors wanaohitaji kuwekeza kwenye hizo bills wamekuwa wachache.
Mazingira ya biashara/uwekezaji ndani ya nchi ni determinant factor,ukiona rates zipo chini ujue demand ilikuwa kubwa na tafsiri yake watu wanaona ni ahueni kuweka pesa Bank kwa riba hiyo ndogo kuliko kuipoteza kwa kwenye biashara na kinyume chake.
Kwa kuhitimisha ni kuwa hiyo riba maana yake nchi kiuchumi tupo hovyo compare na hizo nchi ulizo orodhesha hapo-mfano hapo Kenya ametuzidi zaidi ya mara 3.