Kuna ubaya gani kukopa ukajenga SGR au SG?Ila lazima tukope kwa Malengo madhubuti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ubaya gani kukopa ukajenga SGR au SG?Ila lazima tukope kwa Malengo madhubuti
Lakini pia tukope Mikopo yenye masharti nafuuKuna ubaya gani kukopa ukajenga SGR au SG?
Mikopo ya World Bank na IMF bado ndio Mikopo tunapashwa kuikopa kwa wingiLakini pia tukope Mikopo yenye masharti nafuu
Safi sana kijanaView attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.
Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )
View attachment 3016048
Wasiwasi wangu ni marejesho… hapo ndipo ilipo shughuli…sitaki tutape fedheha huko mbele ya safari tukisuasua kuilipa Kama siku za nyuma ilivyokuwa hadi Paris club ikatusamehe baadhi ya madeni miaka ile ya 1998-2000 ( Kama unakumbuka vizuru) hawa ngozi nyeupe naishi nao, nafanya kazi nao day in day out, wakikupa mkopo huwa ni mtego wa kuku-control… siku ukianza kulipa ndio utajua small prints zote za mkataba…Ila lazima tukope kwa Malengo madhubuti
Sijui kwa nini wasiache hali halisi imtetee yenyewe, maana haya maneno yao yanapotea kama upepo.mbona mnamtetea sana huyo mtu ila hali halisi inajionyesha mtaani halafu tuna uhakika gani kama 5% kweli au ndio zile habari za kuambizana tuko uchumi wa kati.....
ukiona mtu anatetewa sana kuna mawili uwezo mdogo au watetezi wana kafungu kao
huyu naye wamkumbukr tu aache kujiabishambona mnamtetea sana huyo mtu ila hali halisi inajionyesha mtaani halafu tuna uhakika gani kama 5% kweli au ndio zile habari za kuambizana tuko uchumi wa kati.....
ukiona mtu anatetewa sana kuna mawili uwezo mdogo au watetezi wana kafungu kao
Wamkumbuke kwenye nini?huyu naye wamkumbukr tu aache kujiabisha
Dah asali ni hatari sana wakuu, Kafulila huyu huyu yuko praise team sasaivi 😂😂. Siasa shikamoo..View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.
Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )
View attachment 3016048
Asali ipi kijana anapambania nchi yakeDah asali ni hatari sana wakuu, Kafulila huyu huyu yuko praise team sasaivi 😂😂. Siasa shikamoo..
Aah haya bhana, najua tutabishana mpaka kesho hapa. Lets agree to disagree kwenye hili swala.Asali ipi kijana anapambania nchi yake
Hapana huo ndio ukweli wenyeweAah haya bhana, najua tutabishana mpaka kesho hapa. Lets agree to disagree kwenye hili swala.
I have no further comments mkuu.Hapana huo ndio ukweli wenyewe
Be blessed a lot sirI have no further comments mkuu.
Huwa nafurahi sana kuona takwimu kwenye mijadalaView attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.
Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )
View attachment 3016048
Alinza akiwa tajiri kisha akaja kukopa