Kafulila: Serikali kubinafsisha Vivuko vya TEMESA nchini kwa Ubia

PPP imesoma ramani na kuona kuwa vingi vita paki eg. Mwanza & Ilagala Kigoma maana madaraja yanakamilika soon
 
Kazi ni nzuri sanaa
 
Huyu dogo ni mjinga sana, kwa nini hao sekta binafsi wasilete vivuko vyao? Kwa nini wanataka waendeshe vivuko vya serikali? Hivi mtu kivuko sio chake, atakiwa na uzalendo wa kukitunza?

Hiyo Idara ya PPP ya Kafulila ni redundant, ni doublication ya kazi za kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC). Taasisi ya Kafulila ilifaa kuwa idara tu pale TIC. Naashangaa msajili wa hazina na Kitila Mkumbo wanataka kuondoa taasisi zisizo na umuhimu, halafu hii ikaundwa mbele ya macho yao.....
 
Tatizo lako ni wivu tu,

Sikia Karibu nchi zote kubwa Afrika , ulaya na Asia kuna PPP CENTRE ili kuratibu mikataba na agenda ya PPP ingawa kuna vituo vya uwekezaji kama TIC.

Kituo cha uwekezaji kinahusika na investment promotion zaidi , kuhamasisha uwekezaji,

Wakati kituo cha ubia PPP kinasaidia mamlaka za serikali kuandaa miradi ya PPP na zaidi kufanyia uchambuzi miradi husika kuhakikisha pamoja na mchakato mzima wa mikataba kabla ya kuingiwa baina ya mamlaka za serikali na kampuni binafsi ili
kuhakikisha maslahi ya pande mbili.

Bodi yake ni makatibu wakuu na viongozi wa Taasisi kama TRA , TIC na Naibu Mwanasheria mkuu wakiongozwa na Katibu Mkuu wizara ya Fedha kama Mwenyekiti.

Kituo cha PPP hakiko chini ya TR wala wizara ya Mipango bali wizara ya Fedha.

Ni muhimu watu hasa nyie humu jf kujenga utamaduni kufuta ujinga kwa kujisomea kwan tafsiri ya ujinga dunia sasa sio kutokumudu KKK bali kutojisomea siku zote za maisha yakoπŸ˜‚
 
Bado hujasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…