Kafulila: Serikali kubinafsisha Vivuko vya TEMESA nchini kwa Ubia

Imekaa njema sana!! Hata Ujenzi wa mwendo kasi uwe na Ubia.

Ujenzi wa barabara uwe na Ubia ,tunakatwa kodi wanapewa TANROAD/EWURA halafu hakuna wanachofanya ,bora Sector binafsi wajenge wakachukue % yao mpaka mkopo wao utakaporudi then wakabidhiwe serikali.

Barabara kibao mbovu hazipitiki ,sector binafsi wazijenge wachukue kodi ,mbona nchi zilizoendelea barabara za kulipia zipo? Unashangaa Dar kuna barabara hazina hata lami halafu ni barabara tu kubwa inasimamiwa na TANROAD.
Nakuunga mkono kwenye hili,

Barabara mbovu ni nyingi sana
 
Dk.kigoda mpya hy. Sasa CHURA anachoweza YY ni kipi? Bandari kawapa wajomba.kivuko chali
All the best
 
Naona Kafulila sasa ameamua
---
Baada ya kusuasua kiuendeshaji, hatimaye Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (Temesa), imetangaza kubadili mfumo wa utekelezaji wa majukumu yake, kwa kushirikiana na sekta ya umma na binafsi kupitia ubia (PPP).

Kutokana na mabadiliko hayo, Temesa imewaita wawekezaji wa sekta binafsi kutoka ndani na nje ya nchi kuwasilisha mapendekezo ya ushirikiano huo katika huduma za vivuko, karakana za ufundi magari na ufundi umeme.

Kwa mujibu wa taarifa za Temesa, wakala unakuja na mpango huo ikiwa ni miezi mitatu tangu Mwananchi iliripoti mfululizo wa ripoti maalumu zinazoonyesha wakala huo kulemewa na majukumu, kuathiriwa na mifumo na hata kujikuta ikiangukia katika madeni.

Ripoti hiyo iliyotokana na uchunguzi uliofanywa kwa takriban miezi mitatu, ilionesha Temesa kukiuka mpango wa matengenezo ya vivuko na kudaiwa zaidi ya Sh30 bilioni na wasambazaji wa vipuli kwenye karakana zake za ufundi magari.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya ndani ya Temesa, wakala huo umewaalika wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwasilisha mapendekezo yao kwa ajili ya kuwekeza kwenye uendeshaji wa vivuko kupitia mpango wa PPP.

Kamishna wa PPP, David Kafulila akizungumza na Mwananchi leo Jumatano, Septemba 18, 2024 amesema ushirikiano huo unalenga kufanywa katika uendeshaji wa karakana 13 kati ya 30 za wakala huo, sambamba na majukumu mengine kama vivuko na ufundi.

Mwananchi
Mimi nipewe Cha Ilagala
 
Hii ni nzuri sana Kafulila apewe sapoti
 
Hii ni nzuri sana upigaji
 
Bora ya PPP kuliko kuandamana
 
Mama Samia mia mia
 
Kazi iendelee mama ni mitano tena
 
Mrundi at work
 
Kazi nzuri sana
 
Back
Top Bottom