Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6

Kwa lugha nyepesi, Wale wote wanaompigia kelele Rais Samia kuhusu faida na hasara za DP World wajue tu si yeye aliyeanzisha mambo ya Ubia na PPP

#SAMIA MITANO TENA
Unaakili nyingi sana wewe.
 
Chawa Kafulila
 
Pamoja na kazi nzuri anayoifanya David Kafulila bado Watanzania wanahitaji kupewa Elimu ya kutosha juu ya mambo mazuri kama haya ,

Shida ya Watanzania ni Taarifa tu ndio hawana ndio maana unaweza ukadhani ni wakorofi kumbe hapana

Information is power always.
 
expand...
Hongera sana ndg yangu Kafulila naona nia yako ni njema Mungu akupe tarajio la moyo wako,

Hakika unanisaidia CCM na Rais Samia na Serikali,

Unajibu hoja kwaakili na kwa staha sana,

Hakika Umebarikiwa sana ndg yangu.

Nafuatilia maandiko yako yote hata usiku huu,

#Ubarikiwe, Ubarikiwe Ubarikiwe X7
 
Good Kafulia
d
 
Mungu ibariki zaidi Tanzania japo bado tuko chini sana
 
PPP ipewe nguvu zaidi mtakuja kunishukuru
 
Samia mitano tena
 
Wanaouliza miradi ya PPP chukua hiyo
 
Moja ya kampuni nzuri ambayo serikali inatakiwa kupongezwa Kwa kuwekeza ni kampuni ya Airtel. Serikali inamiliki 49% ya Airtel Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…