Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6

Mkurugenzi wa Ubia nchini Bw David Kafulila ameliambia Taifa kuwa sera, Kanuni na Sheria zilizoanzisha PPP zimekuwepo hata kabla ya Ujio wa awamu ya Sita ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Kafulila anasema,Tanzania tayari inaendesha miradi kwa Ubia na Sekta binafsi yenye thamani ya US$ 1 billon sawa na karibu ya TZS 2.6 trilioni.

Mkurugenzi huyo ameendelea kwa kusema dhumuni la PPP na Ubia ni kuipa Serikali nafuu ya kutekeleza miradi mingine mingi ambayo ni muhimu zaidi lakini haiwezi kutekelezwa na Sekta binafsi Kwa mfano Mishahara ya Watumishi na mengineyo.

Tanzania ipo siku itakuwa safi sana
 
Jinga mbuzi hawa! Yaani $1 billion kwa nchi ya watu 65 mil. ni pesa hiyo? Si ni sawa na kumgawia kila mtu thumuni? (kama kuna anayejua pesa hiyo)! Yeye aona ni mafanikio makuuuuubwa! Kweli 'ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno' Washwahili walisema.
 
Ni ndogo sana au kubwa sana?
 
Kwanini utukane watu?

Sasa watu 65m umeambiwa huo ni mgao?

Punguza uzwazwa ndg yangu
 
Bandarin pekee ingetupa asilimia 70 ya mapato lakini nchi hamnazo
 
Kwanini utukane watu?

Sasa watu 65m umeambiwa huo ni mgao?

Punguza uzwazwa ndg yangu
Jf Kuna watu na mamtu, unakuta mtu anastress zake za mtaani analeta hata great thinkers
 
Ninapomwona Kafulila naamini kama Taifa tuko salama, Sijui chochote kuhusu Ubia ila namjua Kafulila
 
Kipindi cha Magu walikuwa wanatoa manamba ya ajabu ajabu ya viwanda, walipobanwa wakasema hadi cherehani 3 ni kiwanda cha nguo 🤣 🤣 🤣 🤣

Wapi kuna orodha ya hiyo miradi na sisi tuhakiki
 
🤣🤣🤣Nimecheka kwa sauti sana,

Hayati Magufuli aliamini sana kwenye namba
 
View attachment 2989981

CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni,

TZS 40.6Trilioni zitatoka katika Sekta binafsi Kwa kutumia JV, UBia na Utaratibu Mwingine Serikali itakaoona unafaa.

Mkurugenzi huyo wa Ubia nchini Bw David Kafulila ameliambia Taifa kuwa sera, Kanuni na Sheria zilizoanzisha PPP zimekuwepo hata kabla ya Ujio wa awamu ya Sita ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Kafulila amefafanua kuwa Tanzania tayari inaendesha miradi kwa Ubia na Sekta binafsi yenye thamani ya US$ 1 billon sawa na karibu ya TZS 2.6 trilioni.

Mkurugenzi huyo ameendelea kwa kusema dhumuni la PPP na Ubia ni kuipa Serikali nafuu ya kutekeleza miradi mingine mingi ambayo ni muhimu zaidi lakini haiwezi kutekelezwa na Sekta binafsi Kwa mfano Mishahara ya Watumishi na mengineyo.
Mitano tena Mama
 
Kazi iendelee
 
40.6T sio pesa kidogo,
114T miradi hii itekelezwe kwa ukweli sio namba namba tu
 
Kazi iendelee nasema
 
Hawa kenge wa ccm, wanajifanya kama hamnazo vile, ishu hapa sio sheria zilitungwa lini, hiyo sio hoja, Sisi tunauliza kwa nini awamu ya sita, samia ameamua kuuza bandari zetu, kwa, wa Arab kwa mikataba yenye mashaka? Kenge wa ccm, badala ya kujibu swali wao wanakuja kusema, unajua hz sheria za kubinafsisha hazikutungwa na awamu ya sita!
Sie kwetu issue ni mikataba ni ya mashaka, isitishwe! Wao, wanakijibu hz sheria hatujatunga Sisi awamu ya sita! Hata kama zilitungwa wakati wa, Yesu, tumeishawaambia ni mbovu kwanini mnazitekeleza?
Sasa hv samia, atatumia wa Tanganyika kupeperusha propaganda ili mradi tu watunishe matumbo Yao!
Jina lako ni zuri ila matamshi yako hapana.
 
CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni,

TZS 40.6Trilioni zitatoka katika Sekta binafsi Kwa kutumia JV, UBia na Utaratibu Mwingine Serikali itakaoona unafaa.

Mkurugenzi huyo wa Ubia nchini Bw David Kafulila ameliambia Taifa kuwa sera, Kanuni na Sheria zilizoanzisha PPP zimekuwepo hata kabla ya Ujio wa awamu ya Sita ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Kafulila amefafanua kuwa Tanzania tayari inaendesha miradi kwa Ubia na Sekta binafsi yenye thamani ya US$ 1 billon sawa na karibu ya TZS 2.6 trilioni.

Mkurugenzi huyo ameendelea kwa kusema dhumuni la PPP na Ubia ni kuipa Serikali nafuu ya kutekeleza miradi mingine mingi ambayo ni muhimu zaidi lakini haiwezi kutekelezwa na Sekta binafsi Kwa mfano Mishahara ya Watumishi na mengineyo.
#MITANO TENA
 
Back
Top Bottom