Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6

Ukweli ni kwamba hiyo bandari miaka yote walifaidi watu wachache sana na ndio hao wanapiga sana kelele leo
Father Kitima na Lissu au Mwabukusi walikuwa wananufaikaje na Bandari hadi kupiga kelele namna hii ?
 
Huyu mwisho wa siku ataharibu hata kazi yake nzuri kwa uchawa. Watu hawajapinga PPP, wamepinga mkataba wa bandari kukiuka sheria za maliasili na uhuru wa nchi.
 
Watafute uwaulize,

Waulize pia,

Wanafahamu kuwa wafanyakazi wa bandari waliosha magari yao kwa Bia?

Wanafahamu kuwa wafanyakazi wa bandari Kila mmoja alitoka na 10M Kwa siku?

Wacha tuone na ya DP WORLD
 
Sikiliza clip yake ndio msimamo wake,

haya ya uandishi niachie Mimi na Uchawa wangu.
 
IDs lukuki za mtu mmoja zinaungana mkono.

Tumbiri na utumbiri havitengamani
 
Watafute uwaulize,

Waulize pia,

Wanafahamu kuwa wafanyakazi wa bandari waliosha magari yao kwa Bia?

Wanafahamu kuwa wafanyakazi wa bandari Kila mmoja alitoka na 10M Kwa siku?

Wacha tuone na ya DP WORLD
Umesema watu wanaopiga kelele ndiyo wachache waliokuwa wakinufaika na bandari.
Father Kitima na Lissu wamepiga kelele kuliko mtu mwingine awaye.

Wananufaika nini na bandari ?
 
They are brothers from Singida,

Wana jambo lao moyoni
 
Back
Top Bottom