Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Too late. Hatuwezi kuendelea na Bandari kwa mfumo ule ambao Watanzania mligeuza kuwa shamba la bibi.Hawa kenge wa ccm, wanajifanya kama hamnazo vile, ishu hapa sio sheria zilitungwa lini, hiyo sio hoja, Sisi tunauliza kwa nini awamu ya sita, samia ameamua kuuza bandari zetu, kwa, wa Arab kwa mikataba yenye mashaka? Kenge wa ccm, badala ya kujibu swali wao wanakuja kusema, unajua hz sheria za kubinafsisha hazikutungwa na awamu ya sita!
Sie kwetu issue ni mikataba ni ya mashaka, isitishwe! Wao, wanakijibu hz sheria hatujatunga Sisi awamu ya sita! Hata kama zilitungwa wakati wa, Yesu, tumeishawaambia ni mbovu kwanini mnazitekeleza?
Sasa hv samia, atatumia wa Tanganyika kupeperusha propaganda ili mradi tu watunishe matumbo Yao!
Ubinafsishaji huonekana kama mbaya mwanzoni lakini muta appreciate kuwa yalikuwa ndiyo maamuzi bora kabisa kuwaleta DP WORLD.
Hata ubinafsishsji wa NBC, TCC na TBL haukuwa mwepesi kihivyo. Watu walipinga sana lakini sasa hivi TBL, TCC, NMB ndiyo makampuni yanaongoza kulipa kodi na gawio kwa Serikali.