Kafulila: Tanzania kwa mara ya kwanza tunajenga barabara za kisiasa za kulipia 150km kutoka Kibaha Pwani-Morogoro bila Fedha ya Serikali

Hata hiyo ni ya umma.kwa pesa tulizonazo nyingi hakuhitaji kuwa na toll road isipokuwa tuzitumie vizizuri pesa zetu kupanua barabara ili kuondoa msongamono.hizi toll road iwe kipaumbele Cha baadae sana.
Pesa tulizonazo ziko wapi?

Kumbuka Kuna maeneo hayana barabara kabisa,
 
View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.

Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.

Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.

Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.

Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.

Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.

===​
Hapa mnabaraka zangu Moja kwa moja
 
Pas

Paso zisiruhusiwe zitasababisha ajali.
 
Kweli hii awamu ya mzanzibari imefilisika kimawazo.pesa zote alizokopa,Kodi tunazokamuliwa,misaada na zinginezo ambazo zingejenga barabara ya njia sita kutoka dar Hadi kigoma wao wanatuletea takataka ya kulipia?.yaani Ninunue gari yangu Kodi nakatawa,mafuta Kodi nakatawa,na barabara Tena duh!
Dunia imekuacha wewe.
Huu ndio mfumo wa nchi za wenzetu duniani
 
View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.

Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.

Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.

Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.

Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.

Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.

===​
Nchi imekuwa kama tambara la deki..hivi huyu anajua nini kuhusu PPP, wapi alipractise hayo anayoyasema au PPP ya mdomoni..huwezi ukataka kuanza mradi wa PPP mahali ambapo jambo hili ni jipya kwa mradi wa mamilioni ya pesa kama huu, ana uhakika gani uwekezaji utalipa..au ni vile wao watakuwa wameshachukua chao...ndio shida ya vyeo vya kupewa, huyu hana uzoefu wowote kwenye mambo ya financing, shule yenyewe ya kuunga unga..
 
Hata hiyo ni ya umma.kwa pesa tulizonazo nyingi hakuhitaji kuwa na toll road isipokuwa tuzitumie vizizuri pesa zetu kupanua barabara ili kuondoa msongamono.hizi toll road iwe kipaumbele Cha baadae sana.
Nchi ya mabwege hii, yaani kafulila ndio wa kushauri nchi mambo ya miradi???
 
Back
Top Bottom