Pesa tulizonazo ziko wapi?Hata hiyo ni ya umma.kwa pesa tulizonazo nyingi hakuhitaji kuwa na toll road isipokuwa tuzitumie vizizuri pesa zetu kupanua barabara ili kuondoa msongamono.hizi toll road iwe kipaumbele Cha baadae sana.
Hapa mnabaraka zangu Moja kwa mojaView attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
Paso zisiruhusiwe zitasababisha ajali.View attachment 2985383

Kwa sababu gani?Pas
Paso zisiruhusiwe zitasababisha ajali.
Nauli haiwezi kuongezeka kwakuwa nauli zinapangwa na Latra sio na barabara brooMfano kwa abiria ukipanda abood, nauli inaongezeka kiasi gani?
Dunia imekuacha wewe.Kweli hii awamu ya mzanzibari imefilisika kimawazo.pesa zote alizokopa,Kodi tunazokamuliwa,misaada na zinginezo ambazo zingejenga barabara ya njia sita kutoka dar Hadi kigoma wao wanatuletea takataka ya kulipia?.yaani Ninunue gari yangu Kodi nakatawa,mafuta Kodi nakatawa,na barabara Tena duh!
Ngosha in town huyo 😆😆Dunia imekuacha wewe.
Huu ndio mfumo wa nchi za wenzetu duniani
Hapana.nimetembea Nchi nyingi duniani.nimejionea nchi zimejenga hizo barabara baada ya kuhakikisha kuwa hizi za umma limejengwa nyingi za kutosha.Siyo Kama hapa.haya ni matumizi mabaya ya pesa za ummaDunia imekuacha wewe.
Huu ndio mfumo wa nchi za wenzetu duniani
Nchi imekuwa kama tambara la deki..hivi huyu anajua nini kuhusu PPP, wapi alipractise hayo anayoyasema au PPP ya mdomoni..huwezi ukataka kuanza mradi wa PPP mahali ambapo jambo hili ni jipya kwa mradi wa mamilioni ya pesa kama huu, ana uhakika gani uwekezaji utalipa..au ni vile wao watakuwa wameshachukua chao...ndio shida ya vyeo vya kupewa, huyu hana uzoefu wowote kwenye mambo ya financing, shule yenyewe ya kuunga unga..View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
Nchi ya mabwege hii, yaani kafulila ndio wa kushauri nchi mambo ya miradi???Hata hiyo ni ya umma.kwa pesa tulizonazo nyingi hakuhitaji kuwa na toll road isipokuwa tuzitumie vizizuri pesa zetu kupanua barabara ili kuondoa msongamono.hizi toll road iwe kipaumbele Cha baadae sana.
Hakuna vya bure dunia hii. Kuna siku utakuja kuelewa haya matatizo ya kupenda kutegemea uwekezaji lakini utakuwa umeshachelewa.Umeambiwa ni mwekezaji sio za serikali
Tanzania inakua kwa kasi sanaJambo jema
Bure vipi wakati wanakusanya pesa zao, KUPITIA Mradi huu?Hakuna vya bure dunia hii. Kuna siku utakuja kuelewa haya matatizo ya kupenda kutegemea uwekezaji lakini utakuwa umeshachelewa.
Dunia imekuacha wewe.
Huu ndio mfumo wa nchi za wenzetu duniani
View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
Hata hapo Kenya zipowapi huko weka mfano wa highway system kwenye western christian country iliyojengwa na watu binafsi …