Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Kafulila unapata wapi Muda wa kuandika ujinga? Nenda kalime biashara yako kwenye siasa na teuzi imekatwa kichwaHiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-U-RC.
View attachment 2414017
Ulikuwa mnaendaga naye kwenye ATM tarehe 23 ya kila mwezi.Ila Kafulila huwa napenda Sana hoja zake kwa unazungumza kwa data,
#Uishi milele brother,
Haya BAVICHA njooni mlete data na ninyi ili kumpinga Kafulila,
Ila Samia Kuna watu wanajipanga Kummaliza kabisa,Kafulila unapata wapi Muda wa kuandika ujinga? Nenda kalime biashara yako kwenye siasa na teuzi imekatwa kichwa
Bora uteuliwe wewe. Kafulila ni hopeless sana mungu alimpa mdomo wa kupiga kelele ili apate sifaIla Samia Kuna watu wanajipanga Kummaliza kabisa,
Sababu gani zilimfanya amteme huyu Mtu,
Kuna watu wabaya wanamshauri Rais Vibaya,
Samia mteue Kafulila akusaidie kutengeneza hoja hali ni mbaya upande wako
Jamaa alikula mkeo nini why unamchukia hivi?Bora uteuliwe wewe. Kafulila ni hopeless sana mungu alimpa mdomo wa kupiga kelele ili apate sifa
Jamaa alikula mkeo nini why unamchukia hivi?
Ni nani alikuambia wakwako uko na Wewe tu?Jamaa alikula mkeo nini why unamchukia hivi?
Anaongelea absolute figures what about rate ya ukopaji ambao bunge lina hoji? Ni ndogo kwakua huko nyuma rate ya ukopaji ilikuwa ndogo so in absolute terms yes but what about if the rate continues, what will happen afterwards?Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
So sad...Kijana anapokuwa easy going ni hatari kwa future ya taifaNaona anataka tuendelee kukopa ili nasi tuzifikie hizo nchi zilizotupita, na kwa spidi ya kukopa tunayoenda nayo asijali, lengo lake litafikiwa.
1. NCCR mageuziJamaa alikula mkeo nini why unamchukia hivi?