Kafulila: Tunataka ifike wakati Serikali ipunguze kutumia kodi na mikopo kufanya miradi ambayo sekta binafsi inaweza kutekeleza kwa PPP

Kafulila huu mtihani akiufuzu atakuwa kiongozi mahiri zaidi hapo baadae
 
Naunga mkono hoja ya huyu muha
 
Hii ni nzuri sana kwa afya ya nchi
 
Sawa
 
Hii post asilimia 90 ya relpy kajibu mtu mmoja, mtoa post😁😁. Kweli kazi bado kubwa...

Kongole Mh. Kafulila
 
PPP ni nzuri kwa taifa lenye watu wanaojiweza kiakili na kiuchumi, wasio na siasa za kufuata mkumbo na zaidi sana ihusishe wazawa zaidi. Changamoto kubwa ni watu wenye madaraka kuabudu wageni na hata uchumi kumilikiwa na watu wenye asili ya nje zaidi.
 
Kafulila namkubali sana
 
Wazo zuri chambu
 
Napenda sana anachokifanya Kafulila kwenye hii PPP, imemfaa sana hii nafasi
 
Hii sawa
 
Hii ni hoja nzuri sana, Taifa haliwezi likaendelea kwa Kodi na Mikopo hiyo sahau kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…