Kafulila: Tunataka ifike wakati Serikali ipunguze kutumia kodi na mikopo kufanya miradi ambayo sekta binafsi inaweza kutekeleza kwa PPP

View attachment 3099534
===
Akihojiwa na kituo Cha Utangazaji Cha Wasafi Jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mkuu wa PPP nchini Mhe David Kafulila amesema nia ya Rais Samia ni kuona miradi yote yenye sura ya kibiashara inaendeshwa na kutekellezwa na sekta binafsi kwa sharti la Ubia na Serikali.

Mkurugenzi huyo amewataka wale wote wenye mitaji, Ujuzi au tekinolojia waangalie Serikalini ni huduma/fursa gani wanaweza wakazitoa kwa faida yao na faida ya Serikali inayoongozwa na Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.

Kafulila anasema kutokana na kasungura ketu kuwa kadogo ( budget ) ifike wakati miradi mingi yenye sura ya kibiashara tusitumie Kodi za walala hoi Wala Mikopo toka kwa wahisani wa Maendeleo bali itekelezwa kwa Fedha za watu binafsi au Kampuni mablimbali.​
Kafulila huu mtihani akiufuzu atakuwa kiongozi mahiri zaidi hapo baadae
 
Naunga mkono hoja ya huyu muha

Hii ni nzuri sana kwa afya ya nchi
 
Sawa
 
Hii post asilimia 90 ya relpy kajibu mtu mmoja, mtoa post😁😁. Kweli kazi bado kubwa...

Kongole Mh. Kafulila
 
PPP ni nzuri kwa taifa lenye watu wanaojiweza kiakili na kiuchumi, wasio na siasa za kufuata mkumbo na zaidi sana ihusishe wazawa zaidi. Changamoto kubwa ni watu wenye madaraka kuabudu wageni na hata uchumi kumilikiwa na watu wenye asili ya nje zaidi.
 
View attachment 3099534
===
Akihojiwa na kituo Cha Utangazaji Cha Wasafi Jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mkuu wa PPP nchini Mhe David Kafulila amesema nia ya Rais Samia ni kuona miradi yote yenye sura ya kibiashara inaendeshwa na kutekellezwa na sekta binafsi kwa sharti la Ubia na Serikali.

Mkurugenzi huyo amewataka wale wote wenye mitaji, Ujuzi au tekinolojia waangalie Serikalini ni huduma/fursa gani wanaweza wakazitoa kwa faida yao na faida ya Serikali inayoongozwa na Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.

Kafulila anasema kutokana na kasungura ketu kuwa kadogo ( budget ) ifike wakati miradi mingi yenye sura ya kibiashara tusitumie Kodi za walala hoi Wala Mikopo toka kwa wahisani wa Maendeleo bali itekelezwa kwa Fedha za watu binafsi au Kampuni mablimbali.​
Kafulila namkubali sana
 
Wazo zuri chambu
 
Napenda sana anachokifanya Kafulila kwenye hii PPP, imemfaa sana hii nafasi
 
Hii sawa
 
Hii ni hoja nzuri sana, Taifa haliwezi likaendelea kwa Kodi na Mikopo hiyo sahau kabisa
 
Back
Top Bottom