Kafulila: Uamuzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kumtunuku shahada ya udaktari wa heshima Rais Samia Suluhu ni uamuzi sahihi hata hivyo wamechelewa

Kafulila unapambana!!! Hivi hakuna Kazi nyingine inayo weza kukufaaa zaidi ya hii unayo pambania. Mwanaume aliumbwa kula kwa jasho....jichanganye mtaani kama sisi...kufa hatufi cha moto tunakiona na maisha yanaendelea.
 
Tuache utani, mama kapendeza na Hilo Jojo alafu na Hilo tabasamu🄰
 
Kafulila unapambana!!! Hivi hakuna Kazi nyingine inayo weza kukufaaa zaidi ya hii unayo pambania. Mwanaume aliumbwa kula kwa jasho....jichanganye mtaani kama sisi...kufa hatufi cha moto tunakiona na maisha yanaendelea.
Acheni mtu atoe maoni yake, shida Iko wapi?Jibuni hoja
 
Samia deserves better than a PhD
 
Uko sahihi kabisaa si unatetea ugali wako maana umepata teuzi yake sasa ulitaka uponde unaanzaje kama ungekuwa bado ni mpinzani ndo ungeponda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…