Kafulila: Uamuzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kumtunuku shahada ya udaktari wa heshima Rais Samia Suluhu ni uamuzi sahihi hata hivyo wamechelewa

Kafulila anajua sana huyu Jamaa
 
Mama anastahili hili Au zaidi
 
Mama Kama Mama,
 
Rwanda, nchi pekee duniani yenye idadi kubwa ya viongozi wanawake.

Nikipata muda nitafuatilia tuzo za mh. Kagame

Hii ya 90% kipato cha mwanamke kinatumika kifamilia. Nitapinga hadi vita ya 5 ya dunia. La sivyo, maduka ya vipodozi, vitenge, mikoba, viatu, miitandio nk yafungwe
 
Njaa kweli ni mbaya Ila Kafulila hawezi kuwa level ya kulia njaa kama Wewe
 
Kafulila kazi nzuri Unafanya, Hongera
 
Njaa inadhalilisha sana ! umefukuzwa kazi siku si nyingi lakini umefirisika kabisa ! ina maana hamkuweka akiba hata kidogo ?

Uchawa utakupeleka wapi ?
 
Kafulila pumzika sasa.
Mbona kina Happi wanalima maisha yanaendelea fresh tu!

Apumzike, kwani aliwaambia amechoka!?
Huyu analytical skill yake ni kubwa sana. Ana uwezo mkubwa sana wa kutumia empirical evidence katika kujenga hoja. Nyie timu yenu ya akina mdude, tundu, mambe n.k. mtabakia kumshambulia yeye binafsi, badala ya kushambulia hoja zake.
 
Njaa inadhalilisha sana ! umefukuzwa kazi siku si nyingi lakini umefirisika kabisa ! ina maana hamkuweka akiba hata kidogo ?

Uchawa utakupeleka wapi ?

Ndiyo shida yenu, badala ya kushambulia hoja, mna mshambulia mtoa hoja.
 
Taifa la kupewa pewa..

Misaada mpewe....

PhD ya kupewa ni agenda ya siku nzima kwenye nchi , hivi nchi iko serious kweli?

Yaani watu wanatolewa focus kwenye agenda za msingi kwa PhD ya kupewa je angekuwa amesoma na kuhitimu siku ya kutunukiwa ingekuwaje?
 
Wewe kinakukera nini toka kwa Kafulila? Ni haki yake

Hawa vijana kina Erythrocyte, Daudi Mchambuzi n.k. ndiyo tunaowaita debe tupu... Wenyewe hakuna siku wamechangia kitu cha maana hapa JF, lkn wale wenye akili makini wakitoa hoja za maana, wanawashambulia, badala ya kushambulia hoja zilizotolewa na watu makini.
 
Huu ugoro utakula na praise team wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…