Kafulila: Uamuzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kumtunuku shahada ya udaktari wa heshima Rais Samia Suluhu ni uamuzi sahihi hata hivyo wamechelewa

NJAA MBAYA SANA ETI WAMECHELEWA kwani SIFA zilizofanya Apewe Shahada alikuwa nazo Miaka 10 iliyopita au Baada ya Kuwa RAIS?
 
Kafulila ni miongoni mwavijana smart sana walioko ndani ya CCM, BAVICHA wanamchukia yeye badala ya hoja zake
 
Kafulila tunza heshima yako, changia maada za kuleta afya kwa taifa, hayo mengine waachie machwa.
Hata kama unayapenda unaweza kukaa kimya tu heshima itakuwapo.
 
Good analysis at All,
 
Duu yaani kula ya mtu inakuja kwa kumkubali mtu,kusifia hata pasipo kusifia. Yaani Ile subconsciously anataka aonwe apewe teuzi jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…