Kafulila: Uamuzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kumtunuku shahada ya udaktari wa heshima Rais Samia Suluhu ni uamuzi sahihi hata hivyo wamechelewa

Ila Kafulila Mwamba sana aise kwenye hoja, Natamani Rcs na DCs wangeiga vile Jamaa alifanya kule Simiyu na vile anafanya Leo,

BAVICHA kwakuwa hamna ata Ofisi mnapomkosoa Kafulila zingatieni hilo pia

Kafulila arudi nyumbani huko CCM anajichoresha tu. Yeye aseme alienda CCM kwa sababu ya Magufuli basi.
 

Hana lolote ndio maana katumbuliwa. Amebaki kujichoresha kwa mama.
 
T
Be serious tangu lini chawa akajibiwa kwa hoja? Chawa anashambuliwa maana ni mnafiki.
 
Nimetaja CHADEMA wapi? Hiyo ndio shida yako. Nimesema nyumbani umekimbilia CHADEMA mara Mbowe etc. Punguza uchama.
 
T

Be serious tangu lini chawa akajibiwa kwa hoja? Chawa anashambuliwa maana ni mnafiki.

Msimhukumu kwa mtazamo wenu wa jinsi alivyo, bali pitieni hoja zake mjue ana mawazo gani.
 
Jamani huyu kiumbe apatiwe uteuzi tupumzike na huu uchawa wake.
 
Asante Samia Asante Kafulila
 
Mtaani njaa kali usipime..... [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…