Kafulila: Uamuzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kumtunuku shahada ya udaktari wa heshima Rais Samia Suluhu ni uamuzi sahihi hata hivyo wamechelewa

Hakuna kitu kibaya kama kupoteza upendo wa jamii iliyowahi kukuona mkombozi utasema pumba zote
 
Hakika uchawa unalipa
 

Sawa mwanangu Kafulila,nakukumbuka, naangalia wapi naweza kukuweka.
 
Kafulila jitahidi sana ufanye kazi nyingine, uchawa kwako hautalipa tena na nafasi za uteuzi sahau kabisa, shukuru Mungu Mama Samia kakuchia u RC miaka kadhaa, kama ulikuwa hujajiwekeza shauri yako, mwenzako Ali Happy analima sasa hivi, ww kaa online utasanda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…