Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

Si jambo la kujivunia na kujilazimisha kukopa hata bila sababu.Kumbuka. Kukopa harusi. Kulipa matanga
 
Kafulila anahaha kusikika akiwa kwenye harakati za kubembeleza uteuzi!! Pole!! Ukisifia halafu usipate uteuzi chondechonde usije ukanuna!!
 
Mimi naona amesoma alama za nyakati,anaenda na upepo
asije akalazimika kusali ile sala ya kitubio
 
Asante kwa madini
 
Hii inch ina wapumbavu wengi sana, bahati mbaya ndo tunawaita viongozi wetu
 
Kumbe Japan 40% ya bajeti yake ni deni Daaah,

Asante Sana Mkuu Kafulila kutufumbua macho,

Kumbe uko shallow kiasi hicho?? Deni haina maana linatoka nje. Deni kwenye nchi za wenzetu maana yake ni fedha ambazo zinakopwa ndani kutoka kwenye vyanzo vya ndani au makusudio ya matumizi ya fedha ambazo bado hazijakusanywa!! Hata sisi hufanya hivo lakini makusanyo na madeni ya ndani ni kiasi kidogo cha mahitaji, ndio maana tunakwenda kukopa!! Deni la Japan sio kutoka IMF, WB na wengine!!! Elewa hilo!
 
Nadhani Wewe hujaelewa vizuri
 
Sasa kama wananchi wanalalamika umeme,ukaanzisha project kubwa ya umeme wa upepo eneo kama singida watu si wanalipa bill, ikatumika kulipa den na kufanya maintenance na watu wakapata ajira sasa apo kuna asara gani
 
Sasa kama wananchi wanalalamika umeme,ukaanzisha project kubwa ya umeme wa upepo eneo kama singida watu si wanalipa bill, ikatumika kulipa den na kufanya maintenance na watu wakapata ajira sasa apo kuna asara gani
Shida wenye kupotosha ni hawa CHADEMA
 
Acha ujinga wewe nzi wa kijani. Kwa hivyo Tanzania bila kukopa haitapata maendeleo. Jifanyeni wajanja wakati akili zenu haziwezi kuleta maendeleo zaidi ya kupambana na CHADEMA.
Mkuu ili hoja yako iwe na mashiko ebu tutajie walau Nchi tatu zilizoendelea Duniani bila kukopa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…